PostGE2025 Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika

PostGE2025 Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania) baada ya kutangaza kuundwa kwa kamati hiyo siku chache zilizopita. Amesema kuwa Watanzania wanataka serikali ya mpito, baada ya kikao kikubwa kilichofanyika Dar es Salaam na wengine kushiriki kwa njia ya mtandao, na kwamba msimamo wa kamati ndiyo msimamo wa Watanzania wengi sasa.

"Kamati imeagiza kabla ya kufika Disemba 9, Rais Samia uwe umekisha kukabidhi madaraka kwa kamati ya mpito. Kama hilo halitatekelezwa, na hili halina mjadala, bila step down kabla ya tarehe 9, au maombo yafuatayo yanakwenda kujitokeza uking’ang’ania kuwa madarakani, utambue kwamba sasa hivi tunavyozungumza vyombo vya ulinzi na usalama baadhi yao wamo kwenye ndani ya hii kamati na wanaunga mkono kauli hizi tunazozitoa."

"Sasa kama utang’ang’ania madaraka, itakapofika tarehe 9 Disemba kutakuwa na maandamano ambayo hajawahi kutokea katika bara la Afrika. Maandamano yatakayotokea tarehe 9, sijui wewe utakimbilia wapi?"

Mzee akipigaga hizi pigo zake ujue basi lazima amwage upupu mtandaoni mzee hamuelewi kabisa mama wa watu yule.🤣🤣🤣🤣
 
Hii propaganda mfu imeshafeli. Hii cd yenu ya udini kawaambieni viongozi wenu kutoka Zanzibar kuwa imeshafeli kabla haijaanza

Vita ya Watanganyika sio udini. Hii ni vita ya Watanganyika dhidi ya ukatili, mauaji, uonevu mnaoufanya nyie washenzi CCM kwa Wananchi.
Mikoa yenye waislam wengi wala hapakua na vurugu,mochwari na mahabusu kumejaa askari wa vita vya msalaba, waislam siyo wajinga
 
Well said, shiida nikuwa watu wanaona hawana njia yeyote ya kuomba haki wakasikilizwa. Ukienda mahakaman hupat haki na popote pale hupati wanao mbwai iwe mbwai.

Ila naunga mkono maandano sio njia sahihi ya kupata haki, nabadal ya kujenga tutabomoa. Maana mnae mtoa kwa nguvu nae atajilinda kwa nguvu pia matokeo yake n maumivu.

Sasa shauri vijana, ni njia ipi bora waitumie kupeleka malalamiko yao kwa watawala bila ya maandamano??
Damu iliyomwagika October 29,imehalalisha mageuzi yajayo!

Kimedani na kwenye Kuta za siri za taifa Kuna haki moja tu hupatikana ni kumtosa yona!!

Jpmna ukali wake wotena ukatili wakewote hakupitiliza viwango hivi na Bado Kuta za Siri zilimmeza na hakumaliza muda wake!!

Kwanini Kuta za siri zisifanyevile vile na uhalali wameshapata kabisa was ku excute mission!!?

Vijana wasubiri waone kwenye jungu Kuna nini!!

Ccm ninavyoifaham haiwezi ACHA business as usual Kwa damu ile iliyomwagika!hope wata kuja na comeback!!
 
Idara ipi? Hawa uvccm?

Hawa wanaoshinda Bar kulewa na kugombania wanawake?

Hawa waabudu fedha ambao ukiwawekea fedha wanaweza fany chochote?

Hawa walioingiza mercenaries kutoka Uganda na Zanzibar kuua Watanganyika na ku smuggle silaha za kivita kuua Watanganyika?

Nchi hii haina Idara ya Usalama wa Taifa, ina kikundi cha wahuni kutoka UVCCM kinachotumika kulinda udhalimu wa Viongozi wa CCM na kuangamiza Watanganyika.
Idara ipo!achana na hao ceremonial informer unaowaona Kila siku!

Labda una maanisha DGIS na subordinates wake!!?No big no!

Nanukuu "kuhusu Diwani Athumani,wapo wanne ambao.hawaripoti kwake na hawapo nchini,Pia sio JPM Wala Samiah anaejua Bi con za nchi zilipo na hawawezi kujua" huyo ni de 'levis humu jamvini!!

Kuhusu hao walioingia nchini na kumwaga damu ya watanganyika,nakuhakikishia kwamba yawezekana ni mbinu ya destruction before construction!!yaani wanampotezea uhalali wa Uongozi wake achafuke then was excecute mission yao!!

Unakumbuka kipindi Cha chuma!!?walianza kwa kuteka teka na poteza poteza then mediazikapiga kelele kuuaminisha imma kwamba yeye ni dictator anaeua watu the rest is the story!!

Mchezo ni ule ule but this time ni massive Ili na.mageuzi yawe massive Kwa maslahi.mapana ya Taifa,

Kabla ya kuzaa uchungu kwanza,Kwa sasa ni uchungu mkali kabla ya mageuzi kuzaliwa upya!
 
wanne ambao.hawaripoti kwake na hawapo nchini,Pia sio JPM Wala Samiah anaejua Bi con za nchi zilipo na hawawezi kujua" huyo ni de 'levis humu jamvini!!
Naam mkuu, kwani utaratibu wa kulipa mishahara watu wa Kitengoni ukoje,
Anayewapa mishahara nani?
Hao wanne wa nje je Jamhuri si huwalipa mishahara?
Je Jamhuri kama inawalipa ina maana majina yao kwenye Payroll yapo au?
 
Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania) baada ya kutangaza kuundwa kwa kamati hiyo siku chache zilizopita. Amesema kuwa Watanzania wanataka serikali ya mpito, baada ya kikao kikubwa kilichofanyika Dar es Salaam na wengine kushiriki kwa njia ya mtandao, na kwamba msimamo wa kamati ndiyo msimamo wa Watanzania wengi sasa.

"Kamati imeagiza kabla ya kufika Disemba 9, Rais Samia uwe umekisha kukabidhi madaraka kwa kamati ya mpito. Kama hilo halitatekelezwa, na hili halina mjadala, bila step down kabla ya tarehe 9, au maombo yafuatayo yanakwenda kujitokeza uking’ang’ania kuwa madarakani, utambue kwamba sasa hivi tunavyozungumza vyombo vya ulinzi na usalama baadhi yao wamo kwenye ndani ya hii kamati na wanaunga mkono kauli hizi tunazozitoa."

"Sasa kama utang’ang’ania madaraka, itakapofika tarehe 9 Disemba kutakuwa na maandamano ambayo hajawahi kutokea katika bara la Afrika. Maandamano yatakayotokea tarehe 9, sijui wewe utakimbilia wapi?"

Sasa itapendeza zaidi kama huyu jamaa akakaee mbele ya hayo maandamano .ili awe mfano.

Hizo nwele zake za mafungu zinaonyesha kabisa udhaifu wa fikra zake zilivyo finyu.
Hao wahuni wenzake walituchomea mwendokasi na miundo mbinu mbalimbali tena mbele ya askari leo unasema askari wasiwepo ili mkavunje mabenki sio.?
Safari hii tutaomba askari watupe na nini silaha tuwasaidie kudhibiti hawa kenge maji wanatuharibia nchi yetu.

Dola isicheke na hawa paka maji.
Hawa majambazi wanatakiwa kutiwa adabu ambayo haijawahi kutokea.
Roho zao mbaya km sura zao.
Imagine huyu jamaa ni waziri.
Hio wizara itaweza kuwa hai ndani ya wiki 2?

Ulevi wa pombe za moshi mbaya sana ukichanganya na uchache wa elimu Shida juu ya matatizo
 
Waislam tz wanatakiwa wajipange,wawe wamoja,au laa wataburuzwa mpaka basi
Wakristo walijipanga kila Kona katika hili,na tatizo kuu ni mwarabu kuwekeza bandarini
Ila CCM ikitoka madarakani maana yake bakwata(inayotumika kuviza waislam )nayo itang'ooka,kisha waislam watakua wamoja,kura zitapigwa kwa misingi ya dini,na nani atazuwia harakati za uislam wenye siasa Kali!?
Tukifika hapo,hatuna nchi
Mimi muislamu sitaki kiongozi mpumbavu awe muislamu au Mkiristo. Samia Atumtaki ccm atuitaki
 
Hakuna bahati mbaya kwenye siasa,yote hupangwa
Nikurejeshe nyuma kidogo,mwaka 1964 kupitia kwenye siasa ambayo wewe unakiri hakuna bahat mbaya nyerere kupitia bandari ya kipumbwi tanga aliingiza wanajeshi wa kitanganyika kuja kuuwa halaiki ya wazanzibar,ni mpango uliosukwa vyema na ukasukika,tokea kipindi hicho miongo mingi imepita na wazanzibar wamekuwa wahanga wa machafuko ya siasa zilizoletwa na watanganyika,mauwaji ya kikatili,,ubakaji,utekaji,kubambikiziwa kesi hayo yote wazanzibar wameyapitia,kwenu ni mageni kwa vile mlijiona mpo safe ndio maana maneno yamekuwa mengi ila niwakumbushe tu watanganyika kisasi ni haki na malipo ni hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom