PostGE2025 Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Idara hiihii corrupted?
 
Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania) baada ya kutangaza kuundwa kwa kamati hiyo siku chache zilizopita. Amesema kuwa Watanzania wanataka serikali ya mpito, baada ya kikao kikubwa kilichofanyika Dar es Salaam na wengine kushiriki kwa njia ya mtandao, na kwamba msimamo wa kamati ndiyo msimamo wa Watanzania wengi sasa.

"Kamati imeagiza kabla ya kufika Disemba 9, Rais Samia uwe umekisha kukabidhi madaraka kwa kamati ya mpito. Kama hilo halitatekelezwa, na hili halina mjadala, bila step down kabla ya tarehe 9, au maombo yafuatayo yanakwenda kujitokeza uking’ang’ania kuwa madarakani, utambue kwamba sasa hivi tunavyozungumza vyombo vya ulinzi na usalama baadhi yao wamo kwenye ndani ya hii kamati na wanaunga mkono kauli hizi tunazozitoa."

"Sasa kama utang’ang’ania madaraka, itakapofika tarehe 9 Disemba kutakuwa na maandamano ambayo hajawahi kutokea katika bara la Afrika. Maandamano yatakayotokea tarehe 9, sijui wewe utakimbilia wapi?"

Hiyo KAMATI imeundwa na nani? Na huyo anaongea kama nani?
 
Si ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.

Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
 
Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania) baada ya kutangaza kuundwa kwa kamati hiyo siku chache zilizopita. Amesema kuwa Watanzania wanataka serikali ya mpito, baada ya kikao kikubwa kilichofanyika Dar es Salaam na wengine kushiriki kwa njia ya mtandao, na kwamba msimamo wa kamati ndiyo msimamo wa Watanzania wengi sasa.

"Kamati imeagiza kabla ya kufika Disemba 9, Rais Samia uwe umekisha kukabidhi madaraka kwa kamati ya mpito. Kama hilo halitatekelezwa, na hili halina mjadala, bila step down kabla ya tarehe 9, au maombo yafuatayo yanakwenda kujitokeza uking’ang’ania kuwa madarakani, utambue kwamba sasa hivi tunavyozungumza vyombo vya ulinzi na usalama baadhi yao wamo kwenye ndani ya hii kamati na wanaunga mkono kauli hizi tunazozitoa."

"Sasa kama utang’ang’ania madaraka, itakapofika tarehe 9 Disemba kutakuwa na maandamano ambayo hajawahi kutokea katika bara la Afrika. Maandamano yatakayotokea tarehe 9, sijui wewe utakimbilia wapi?"

Huyu anasukuma kete watu waingie kingi waliwe vichwa, kama unaendeahwa na hisia kuliko mantiki utaona anapambania mabadiliko fulani il wapi..
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Kuiachia idara pekee ndiko kunakozaa udhaifu na ukimya, nguvu ya wananchi ndiyo inayolinda taifa, na siyo kuwa na matumaini ya mfumo kujirekebisha wenyewe.
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Well said, shiida nikuwa watu wanaona hawana njia yeyote ya kuomba haki wakasikilizwa. Ukienda mahakaman hupat haki na popote pale hupati wanao mbwai iwe mbwai.

Ila naunga mkono maandano sio njia sahihi ya kupata haki, nabadal ya kujenga tutabomoa. Maana mnae mtoa kwa nguvu nae atajilinda kwa nguvu pia matokeo yake n maumivu.

Sasa shauri vijana, ni njia ipi bora waitumie kupeleka malalamiko yao kwa watawala bila ya maandamano??
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Wewe kvma au nini?

Idara gani unaongelea, ambayo imemuua Magufuli na kumpa nchi mhaini mkuu Samia?

Kvma la mama yako kabisa, ushuzi wewe, na nahisi hukuzaliwa bali walikukunya.

Roho za watu walokufa lazima zipatiwe justice, Samia anaondolewa madarakani na wananchi ambao ndio wamiliki halali wa nchi hii, katiba inabadilishwa na itaruhusu samia na kikwete kushtakiwa wao na familia zao.
 
Samia sio ajiuzulu bali ni wa kukamatwa na kupelekwa mahakama ya kimataifa ya uhalifu akajibu mashtaka yanayomkabili.
Hamna haja ya mahakama za kimataifa, huko atatoka.

Kwanza akishatolews tunadeal na abdul, muliro, na kiziga.

Wakati huo katiba inabadilishwa iruhusu raisi kushtakiwa, hapo tutawashtaki kikwete na samia kwa mahakama zetu za humuhumu ndani. Na huku yao ni kunyongwa tu hadi kufa tena live kwenye TV ya Taifa
 
Idara ipi? Hawa uvccm?

Hawa wanaoshinda Bar kulewa na kugombania wanawake?

Hawa waabudu fedha ambao ukiwawekea fedha wanaweza fany chochote?

Hawa walioingiza mercenaries kutoka Uganda na Zanzibar kuua Watanganyika na ku smuggle silaha za kivita kuua Watanganyika?

Nchi hii haina Idara ya Usalama wa Taifa, ina kikundi cha wahuni kutoka UVCCM kinachotumika kulinda udhalimu wa Viongozi wa CCM na kuangamiza Watanganyika.
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
 
Hii propaganda mfu imeshafeli. Hii cd yenu ya udini kawaambieni viongozi wenu kutoka Zanzibar kuwa imeshafeli kabla haijaanza

Vita ya Watanganyika sio udini. Hii ni vita ya Watanganyika dhidi ya ukatili, mauaji, uonevu mnaoufanya nyie washenzi CCM kwa Wananchi.
Waislam tz wanatakiwa wajipange,wawe wamoja,au laa wataburuzwa mpaka basi
Wakristo walijipanga kila Kona katika hili,na tatizo kuu ni mwarabu kuwekeza bandarini
Ila CCM ikitoka madarakani maana yake bakwata(inayotumika kuviza waislam )nayo itang'ooka,kisha waislam watakua wamoja,kura zitapigwa kwa misingi ya dini,na nani atazuwia harakati za uislam wenye siasa Kali!?
Tukifika hapo,hatuna nchi
 
Hamna haja ya mahakama za kimataifa, huko atatoka.

Kwanza akishatolews tunadeal na abdul, muliro, na kiziga.

Wakati huo katiba inabadilishwa iruhusu raisi kushtakiwa, hapo tutawashtaki kikwete na samia kwa mahakama zetu za humuhumu ndani. Na huku yao ni kunyongwa tu hadi kufa tena live kwenye TV ya Taifa
Naam, hakuna maridhiano na wauaji kabisa.
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Magufuli hakuua watu wengi kiasi hiki.

Kama wanafanya transition wafanye haraka sana
 
Back
Top Bottom