PostGE2025 Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watu wa CCM huwa mnachekesha. Ninyi kwenu kila anayewapinga ni anatumika. Mmeua maelfu ya watu, mnanuka rushwa, mnateka kila kukicha, halafu watu wakipandwa na hasira juu ya mambo haya ni wanatumika? Shida kweli
Fuatilia maadai ya "Gen- Z" kwenye andiko lao linganisha na hii video note, Ukipata muda pitia maelezo ya Sheikh Ponda kisha angalia tafakari utanielewa.
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Magufuli hakuingia kwa kuua hivi mnamsingizia baba wa watu
 
Hii statement inaonesha "Gen-Z" wanatumika kama chambo tu.
Ninukuliwe hivi; "nyuma ya kila kitu kuna kila kitu".
Katika nchi yenye mamilioni ya watu wa kila rika, unataka Gen Z waandamane peke yao kweli?

Na kwa nini uone Gen Z wanatumika kama chambo? Kwani Gen Z hawawezi kusimamia hoja yao halafu hoja hiyo ikaungwa mkono na wengine wengi, bila Gen Z kutumika kama chambo?

Ulichoandika kinatoa taswira kuwa Gen Z wamepewa tu ajenda ya watu, wanatokea mbele kwa kupangwa na watu, hiyo ajenda si yao.

Jambo ambalo huwezi kulithibitisha, kwa sababu si la kweli.

Gen Z wengi sana wanasimamia jambo hili kama jambo lao bila kupangwa na mtu.
 
Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania) baada ya kutangaza kuundwa kwa kamati hiyo siku chache zilizopita. Amesema kuwa Watanzania wanataka serikali ya mpito, baada ya kikao kikubwa kilichofanyika Dar es Salaam na wengine kushiriki kwa njia ya mtandao, na kwamba msimamo wa kamati ndiyo msimamo wa Watanzania wengi sasa.

"Kamati imeagiza kabla ya kufika Disemba 9, Rais Samia uwe umekisha kukabidhi madaraka kwa kamati ya mpito. Kama hilo halitatekelezwa, na hili halina mjadala, bila step down kabla ya tarehe 9, au maombo yafuatayo yanakwenda kujitokeza uking’ang’ania kuwa madarakani, utambue kwamba sasa hivi tunavyozungumza vyombo vya ulinzi na usalama baadhi yao wamo kwenye ndani ya hii kamati na wanaunga mkono kauli hizi tunazozitoa."

"Sasa kama utang’ang’ania madaraka, itakapofika tarehe 9 Disemba kutakuwa na maandamano ambayo hajawahi kutokea katika bara la Afrika. Maandamano yatakayotokea tarehe 9, sijui wewe utakimbilia wapi?"

Huyu yuko wapi? Isije kuwa kama POLEPOLE
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
NB:Wamechelewa sana...
 
Mpaka nchi itakapowaka moto,miili kitapakaa, ndiyo utaona siyo mawazo ya kipumbavu

Nani anasababisha miili kutapakaa kama siyo upumbavu, kukosa weledi na unyama wa huyo bibi yenu na vyombo vyake vya ulinzi? Kwani maandamano yameanzia hapa Tanzania?. Angalia Bangladesh na niambie walikufa wangapi? Nepal? Madagascar? Na nchi nyingine kibao. Kwanini hawakuua kama mlivyokwishaua nyie? Mmeua maelfu ndani ya saa 48. Makafiri
 
Waislam tz wanatakiwa wajipange,wawe wamoja,au laa wataburuzwa mpaka basi
Wakristo walijipanga kila Kona katika hili,na tatizo kuu ni mwarabu kuwekeza bandarini
Ila CCM ikitoka madarakani maana yake bakwata(inayotumika kuviza waislam )nayo itang'ooka,kisha waislam watakua wamoja,kura zitapigwa kwa misingi ya dini,na nani atazuwia harakati za uislam wenye siasa Kali!?
Tukifika hapo,hatuna nchi
 
Hii statement inaonesha "Gen-Z" wanatumika kama chambo tu.
Ninukuliwe hivi; "nyuma ya kila kitu kuna kila kitu".

Statement nzuri ni kwamba, They have given Power by tye inner circle walio choka na Uhuni.

Hii ni sawa na Polisi kumfungulia get Mfungwa bila yeye kujua, Siku anatoroka aje aone ni katoroka kwa bahati mbaya
 
Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania) baada ya kutangaza kuundwa kwa kamati hiyo siku chache zilizopita. Amesema kuwa Watanzania wanataka serikali ya mpito, baada ya kikao kikubwa kilichofanyika Dar es Salaam na wengine kushiriki kwa njia ya mtandao, na kwamba msimamo wa kamati ndiyo msimamo wa Watanzania wengi sasa.

"Kamati imeagiza kabla ya kufika Disemba 9, Rais Samia uwe umekisha kukabidhi madaraka kwa kamati ya mpito. Kama hilo halitatekelezwa, na hili halina mjadala, bila step down kabla ya tarehe 9, au maombo yafuatayo yanakwenda kujitokeza uking’ang’ania kuwa madarakani, utambue kwamba sasa hivi tunavyozungumza vyombo vya ulinzi na usalama baadhi yao wamo kwenye ndani ya hii kamati na wanaunga mkono kauli hizi tunazozitoa."

"Sasa kama utang’ang’ania madaraka, itakapofika tarehe 9 Disemba kutakuwa na maandamano ambayo hajawahi kutokea katika bara la Afrika. Maandamano yatakayotokea tarehe 9, sijui wewe utakimbilia wapi?"

Aondoke Samuya muuaji wa watoto. Hatumtaki
 
Waislam tz wanatakiwa wajipange,wawe wamoja,au laa wataburuzwa mpaka basi
Wakristo walijipanga kila Kona katika hili,na tatizo kuu ni mwarabu kuwekeza bandarini
Ila CCM ikitoka madarakani maana yake bakwata(inayotumika kuviza waislam )nayo itang'ooka,kisha waislam watakua wamoja,kura zitapigwa kwa misingi ya dini,na nani atazuwia harakati za uislam wenye siasa Kali!?
Tukifika hapo,hatuna nchi
Ona akili ya vegetable. Yanawaza tu dini. Takataka.
 
Nani anasababisha miili kutapakaa kama siyo upumbavu, kukosa weledi na unyama wa huyo bibi yenu na vyombo vyake vya ulinzi? Kwani maandamano yameanzia hapa Tanzania?. Angalia Bangladesh na niambie walikufa wangapi? Nepal? Madagascar? Na nchi nyingine kibao. Kwanini hawakuua kama mlivyokwishaua nyie? Mmeua maelfu ndani ya saa 48. Makafiri
Hayo maandamano ya hizo nchi, vyombo vya ulinzi na usalama ndiyo vilipanga,hapa vyombo vya ulinzi na usalama vipo na serikali kuu,jua kutofautisha
 
Mkuu Unaogopa nchi kuwaka moto!? Wewe unampango wa kuishi miaka mingapi hapa duniani ,unadhani waliouliwa na Samia wao hawakupenda kuishi!? .

Acha kuogopesha watu eti nchi kuwaka moto,acha iwake
Sawa
 
Waislam tz wanatakiwa wajipange,wawe wamoja,au laa wataburuzwa mpaka basi
Wakristo walijipanga kila Kona katika hili,na tatizo kuu ni mwarabu kuwekeza bandarini
Ila CCM ikitoka madarakani maana yake bakwata(inayotumika kuviza waislam )nayo itang'ooka,kisha waislam watakua wamoja,kura zitapigwa kwa misingi ya dini,na nani atazuwia harakati za uislam wenye siasa Kali!?
Tukifika hapo,hatuna nchi

Hahaha, Udini uko huko juu kwenu, lkn huku chini kwa wapiga kura hakuna udini.

Kidogo kuna chuki ya Watanganyika na Wazanzibari, ambayo itatafsiriwa kama udini kwasababu proportion kubwa zanzibar ni waisilamu ambao wataanza kuwa attack wa bara ambao wengi ni wa kristo.
 
Back
Top Bottom