PostGE2025 Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Waislam tz wanatakiwa wajipange,wawe wamoja,au laa wataburuzwa mpaka basi
Wakristo walijipanga kila Kona katika hili,na tatizo kuu ni mwarabu kuwekeza bandarini
Ila CCM ikitoka madarakani maana yake bakwata(inayotumika kuviza waislam )nayo itang'ooka,kisha waislam watakua wamoja,kura zitapigwa kwa misingi ya dini,na nani atazuwia harakati za uislam wenye siasa Kali!?
Tukifika hapo,hatuna nchi
Acha udini ambao hauna tija tunazungumzia kiti cha Rais ambayo ni mali ya Umma no matter amekaa nani hapo ukizingua unawekwa Pembe anakaa mwingi icho kiti cha Urais sio mali ya mdu au Dini flani toa Upumbavu wako hapa
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Kwamba kpind cha magu watu waliuawa kwa wingi hiv?
 
Waislam tz wanatakiwa wajipange,wawe wamoja,au laa wataburuzwa mpaka basi
Wakristo walijipanga kila Kona katika hili,na tatizo kuu ni mwarabu kuwekeza bandarini
Ila CCM ikitoka madarakani maana yake bakwata(inayotumika kuviza waislam )nayo itang'ooka,kisha waislam watakua wamoja,kura zitapigwa kwa misingi ya dini,na nani atazuwia harakati za uislam wenye siasa Kali!?
Tukifika hapo,hatuna nchi
Acha propaganda mfuu..hyo bandari kwani mwanzon wakristu ndo walikuwa wamewekeza?hiz spinning mnazoleta zimepitwa na wakt ..waislam nao ss hiv wameshaelimika c wa kuburuzwa eti kisa siasa maji taka...wapo wengi wanadai haki
 
Acha udini ambao hauna tija tunazungumzia kiti cha Rais ambayo ni mali ya Umma no matter amekaa nani hapo ukizingua unawekwa Pembe anakaa mwingi icho kiti cha Urais sio mali ya mdu au Dini flani toa Upumbavu wako hapa
Mimi siyo mjinga
 
Samuya na watu wake hawajui wanapigana na nani.

siyo kweli, wanajua sana sema kama kawaida ya udikteta toxic dunia nzima wana-underestimate wanafikiri wanaweza kupiga blah blah na “international community” wakatoa ahadi za danganya toto halafu wakatoboa, kumbe hawatambui kwamba people have heard it all before na hakuna jipya, sasa watakuja kushtukia dakika za mwisho na haoo hakuna tena cha kufanya, wote huishia hivyo gadafi ilikuwa hivyo, sadamu, mugabe, hivyo hivyo hata asad sema yeye alikuwa clever akasoma mapema akaelewa kinachoendelea akasepa kwenda kumuuguza mke wake na kuwaachia nchi yao.

imeisha hiyo …
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Rudia tena kuangalia ile video ya mwananyamala, af usikilize tena hotuba ya Rais, af uje kuandika tena
 
Waislam tz wanatakiwa wajipange,wawe wamoja,au laa wataburuzwa mpaka basi
Wakristo walijipanga kila Kona katika hili,na tatizo kuu ni mwarabu kuwekeza bandarini
Ila CCM ikitoka madarakani maana yake bakwata(inayotumika kuviza waislam )nayo itang'ooka,kisha waislam watakua wamoja,kura zitapigwa kwa misingi ya dini,na nani atazuwia harakati za uislam wenye siasa Kali!?
Tukifika hapo,hatuna nchi
Acha udini wewe
 
Halafu wewe jamaa unaonekana jinga sana. Yaani unadhani vyombo vya ulinzi na usalama vinazidi nguvu ya wenye nchi yao. Hakuna jeshi duniani linalozidi nguvu ya umma. Umma ukiamua hata jeshi lenyewe linavunjwa linasukwa upya.
Lakini si jeshi la Africa.
 
Kama wewe ni CCM na unajua huna akili usikomenti..Toa matako yako kwenye huu uzi kaungane na lucas mwashambwa.
Mnafurahia upuuzi tu watoto wenu wataishi hapa hapa wataonja joto ya jiwe ambayo nyie mmeiruhusu kwa ubinafsi wenu wa madaraka.
Nb: Matako yenu
 
Back
Top Bottom