PostGE2025 Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika

PostGE2025 Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hahaha, Udini uko huko juu kwenu, lkn huku chini kwa wapiga kura hakuna udini.

Kidogo kuna chuki ya Watanganyika na Wazanzibari, ambayo itatafsiriwa kama udini kwasababu proportion kubwa zanzibar ni waisilamu ambao wataanza kuwa attack wa bara ambao wengi ni wa kristo.
Hakuna shida
 
Waislam tz wanatakiwa wajipange,wawe wamoja,au laa wataburuzwa mpaka basi
Wakristo walijipanga kila Kona katika hili,na tatizo kuu ni mwarabu kuwekeza bandarini
Ila CCM ikitoka madarakani maana yake bakwata(inayotumika kuviza waislam )nayo itang'ooka,kisha waislam watakua wamoja,kura zitapigwa kwa misingi ya dini,na nani atazuwia harakati za uislam wenye siasa Kali!?
Tukifika hapo,hatuna nchi
Matako ya bibi yako
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Idara ipi??!
 
Kuskia kwa Kenge mpaka damu JF watu wametuma Ujumbe sana wameonya sana kabla kwamba tukae mezani tutoe Rerfoms na Tume huru bado mapema tukomeshe matendo ya Utekaji na Mauaji sio mazuri. Unaweza kuja kuwaitaji watu kipindi ambacho hawakuitaji
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Ngoja wapate nidhamu kwanza vitu vinatafutwa Uhai wa wale watoto unaweza kurudi?
 
Mkuu idara Iko corrupted kwa kiwango kikubwa, mpaka cdf kulalamika sio jambo la kitoto ujue,

Wazalendo wanaofanya kazi kubwa ya kukusanya taarifa, alafu zinaemfikia sio mtanzania na kama akiwa mtanzania ni mwana mtandao.

So solution nini , kuchimbua shina na mizizi yake kwa nguvu kubwa
Wote wanatakiwa kutupwa nje kwa nguvu kubwa kwa maslahi ya nchi na kizazi kijacho tuache kua wabinafsi
 
Katika nchi yenye mamilioni ya watu wa kila rika, unataka Gen Z waandamane peke yao kweli?

Na kwa nini uone Gen Z wanatumika kama chambo? Kwani Gen Z hawawezi kusimamia hoja yao halafu hoja hiyo ikaungwa mkono na wengine wengi, bila Gen Z kutumika kama chambo?

Ulichoandika kinatoa taswira kuwa Gen Z wamepewa tu ajenda ya watu, wanatokea mbele kwa kupangwa na watu, hiyo ajenda si yao.

Jambo ambalo huwezi kulithibitisha, kwa sababu si la kweli.

Gen Z wengi sana wanasimamia jambo hili kama jambo lao bila kupangwa na mtu.
Kwamba GenZ hawajui kwamba wake wenza wa Viongozi wastaafu wanalipwa kwamba GenZ hawajui Polepole alichokua anasema mpaka kupelekea kutekwa kwamba GenZ hawana ndugu zao waliotekwa tuache visingizio
 
Back
Top Bottom