Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

TASAF imeleta mabadiliko gani kwa umaskini wa nchi hii??
 
Watoto wa Mary Nagu ma popoma kweli. Maisha yamewanyoosha mnalilia hela za bure. Wapumbavu kweli, haha. Mama yenu mwenyewe alikuwa chakula cha namba 1 wa 4.
 
TASAF imeleta mabadiliko gani kwa umaskini wa nchi hii

TASAF imeleta mabadiliko gani kwa umaskini wa nchi hii??
Mkuu Yoda, kamwe ni vigumu kuizungumzia njia ambayo hujawahi kupita. Kuna watu wengi wamesomeshwa na kulelewa na TASAF. Leo hii kuna watu wanamiliki mifugo kama mbuzi na wanaendesha maisha yao kwa sababu ya TASAF. Je ni kweli TASAF haijafanya kitu kwa wananchi wa kaya masikini???
 
Ivan ni nyege uko nazo au? Mbona ni wa kawaida tu hana maajabu πŸ™„
Ahahahaha..Ujue we unachanganya uzuri wa mtu na vitu vingine πŸ˜…πŸ˜‚.

Kwan hujawah kuwasikia wale watu wanaulizwa "we umempendea nini huyu?"
Af wao wanajibu "nyie achen tu, hamuwez kunielewa, hamjui tu !!" 🀣🀣🀣
 
Alimgeuka akahamia kwa Lowassa halafu akagombea UNEC Manyara ambao Sumaye alikuwa naye anagombea. Kwa msaada wa Lowassa Nagu akamshinda Sumaye. Tangia hapo uadui ukaanza.
Ukiachana na maslah ya kisiasa kama ambavyo mtu yoyote yule angefanya hivyo ila wanawake ni viumbe wa kuwa nao macho sana. Haijalishi utamfanyia fadhila kias gani ila one mistake a thousands goals. Sekunde tu anakuchenjia kama sio yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…