Alpaslan Bey
Senior Member
- Nov 4, 2023
- 121
- 163
Boss, hayo sasa ni mapungufu ya watu wachache hasa wanasiasa katika ngazi ya kata na vijiji kupendelea watu ambao wana maslahi nao ila malengo halisi ya TASAF sio hivyo wafanyavyo baadhi ya watendajiTASAF hii hii inayowaacha masikini wa kweli na kusajili watu wenye uwezo au?
There is no CORRELLETION between performance and AGE! Berkshire Hathaway ni kampuni huko marekani inayoongozwa na wazee wa miaka Zaidi ya 90 na hata hivyo is one of the most profitable investment vehicles!
Umewahihi kuwasikia Warren Buffet na Charlie Munger [ unfortunately, Charlie passed away recently at 99 yrs!]
Wazee wa bongo ni more resilient kuliko wazee wa America kwa sababu mpaka unafikia /unaitwa Mzee lazima umekwepa mishale mingi kuliko wale wa America!Hiyo ni kampuni kati ya makampuni mangapi?
Hata hivyo Mzee wa America/ Ulaya sio Sawa na Mzee wa Africa particularly Bongo.
Wazee wa bongo wamechoka mno mentally, physically, spiritually etc.
Wazee wa bongo ni more resilient kuliko wazee wa America kwa sababu mpaka unafikia /unaitwa Mzee lazima umekwepa mishale mingi kuliko wale wa America!
Your main problem is generalization; mnawaweka wazee Wote kwenye tenga moja as if wote wana similar life style!Wanafuata posho tu na maileji allowance tu lakini kuwa na maono mapya wala value addition hawana.
Wamechoka!
Huyo mazeri ni kwere kwerekweche.... hajawahi kosa teuzi. Yaani baraza la mawaziri ni kama sebuleni kwakeMhagama yuko tuuu hakossgi
Huyu atakuwa na nguvu ya ziada
[emoji1]
Ova
Huyu noma. Anahama tu humo humo ila nje hatoki.Huyo mazeri ni kwere kwerekweche.... hajawahi kosa teuzi. Yaani baraza la mawaziri ni kama sebuleni kwake
Aacha uongo, wewe utakuwa ni mlengwa wa TASAFMchango anao tena mkubwa sana. TASAF unayoiona leo ni matokeo ya kazi na ubunifu wake. Kuhusu kuibuliwa wengine hii sasa ndio hoja ya msingi ya serikali kuifanyia kazi.
30,000? Kwa mwezi, familia nyingi ni walevi.Mkuu Yoda, kamwe ni vigumu kuizungumzia njia ambayo hujawahi kupita. Kuna watu wengi wamesomeshwa na kulelewa na TASAF. Leo hii kuna watu wanamiliki mifugo kama mbuzi na wanaendesha maisha yao kwa sababu ya TASAF. Je ni kweli TASAF haijafanya kitu kwa wananchi wa kaya masikini???
Jokate ni mtoto wa dada wa Jenista. Na Jenista ndiye anamtengenezea Jokate political careerNitafurahi sana Jokate akimng'oa Jenista
Kuna wazee wanaishi vijijini huku wakiwa wanahitaji Tsh 20000 tu ili kutoboa mwezi. Kama una uzoefu wa maisha ya kijijini utaelewa namaanisha nini30,000? Kwa mwezi, familia nyingi ni walevi.
Muda utaamua ndugu.Jokate ni mtoto wa dada wa Jenista. Na Jenista ndiye anamtengenezea Jokate political career