Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

TASAF hii hii inayowaacha masikini wa kweli na kusajili watu wenye uwezo au?
Boss, hayo sasa ni mapungufu ya watu wachache hasa wanasiasa katika ngazi ya kata na vijiji kupendelea watu ambao wana maslahi nao ila malengo halisi ya TASAF sio hivyo wafanyavyo baadhi ya watendaji
 
Uko sahihi kabisa, narudia tena kusema kwamba Mh Nagu alipata wazo la kuwa na TASAF baada ya kufanya ziara nchini Malawi ambao tayari walikuwa na MASAF na akamuomba mwakilishi wa benki ya Dunia akiwa hukohuko Malawi asaidie kufanya kitu kama hicho hapa nchini na kweli akakubali na ni yeye aliyefanya mfuko huu kuwa chini ya Rais
 
There is no CORRELLETION between performance and AGE! Berkshire Hathaway ni kampuni huko marekani inayoongozwa na wazee wa miaka Zaidi ya 90 na hata hivyo is one of the most profitable investment vehicles!
Umewahihi kuwasikia Warren Buffet na Charlie Munger [ unfortunately, Charlie passed away recently at 99 yrs!]



Hiyo ni kampuni kati ya makampuni mangapi?

Hata hivyo Mzee wa America/ Ulaya sio Sawa na Mzee wa Africa particularly Bongo.

Wazee wa bongo wamechoka mno mentally, physically, spiritually etc.
 
Americans/ Europeans wanakula balance diet tangu wako tumboni,

Kufanya mazoezi kwao ni hitaji la msingi,

Kusoma vitabu na kujifunza mambo ni jambo la kawaida kwao,

Bongo ni kinyume chake Halafu utake kinachofanywa na Mzee wa America kifanyike na Mzee wa bongo?

Thubutuuu.
 
Wanafuata posho tu na maileji allowance tu lakini kuwa na maono mapya wala value addition hawana.

Wamechoka!
 
Wewe mzee mwenye umri wa Rais wa Sasa wa America utamfananisha na nani bongo kuweza ?

Thubutuuu.

Tena kuongoza mashine watu wenye kujitambua na wenye akili kubwa usifanye masihara.

Kuongoza makondoo ndio huwa rahisi.
 
Hiyo ni kampuni kati ya makampuni mangapi?

Hata hivyo Mzee wa America/ Ulaya sio Sawa na Mzee wa Africa particularly Bongo.

Wazee wa bongo wamechoka mno mentally, physically, spiritually etc.
Wazee wa bongo ni more resilient kuliko wazee wa America kwa sababu mpaka unafikia /unaitwa Mzee lazima umekwepa mishale mingi kuliko wale wa America!
Kuna mwalimu Wangu alinifundisha UDSM umri wake mkubwa kuliko Biden lakini bado yuko fresh kabisa utafikiri ana miaka 50!!
 
Wanafuata posho tu na maileji allowance tu lakini kuwa na maono mapya wala value addition hawana.

Wamechoka!
Your main problem is generalization; mnawaweka wazee Wote kwenye tenga moja as if wote wana similar life style!
 
Mkuu Yoda, kamwe ni vigumu kuizungumzia njia ambayo hujawahi kupita. Kuna watu wengi wamesomeshwa na kulelewa na TASAF. Leo hii kuna watu wanamiliki mifugo kama mbuzi na wanaendesha maisha yao kwa sababu ya TASAF. Je ni kweli TASAF haijafanya kitu kwa wananchi wa kaya masikini???
30,000? Kwa mwezi, familia nyingi ni walevi.
 
Mamlaka za uteuzi ziache au zipunguze kuteua senior citizen kwenye bodi mbalimbali,damu mpya ziingie kwenye bodi za mashirika na taasisi za umma ili kuleta mawazo mpya na mtizamo mpya katika kuongoza taasisi hizo wajumbe wa bodi wateuliwe baada ya kufanya usaili (interview) za kuwapima uwezo wao badala ya kupewa kama fadhila
 
Ukumbukwe wewe mjukuu, Nchi inavijana wengi wenye sifa za kungoza.
 
Back
Top Bottom