The Iron
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 1,396
- 1,464
Shikamoo mzee....lazima saiv utakua +65yrswewe nakufahamu , kama Kibangu! na Kibo maana nimekaa pale tangu 1971. Baa maarufu ilikuwa Kibo! Tours and hunters Club etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo mzee....lazima saiv utakua +65yrswewe nakufahamu , kama Kibangu! na Kibo maana nimekaa pale tangu 1971. Baa maarufu ilikuwa Kibo! Tours and hunters Club etc
Nccr siyo Chama cha siasa hilo hakuna asiyejua!
Old is gold... I wish I can turn back the time.. Nadhani tunazeeka sasa [emoji25][emoji144]Mzee makassy na Ochestra Makassy.... cheza miziki sana pale ... Orchstra Maquis White house /Savanah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alileta tafrani sana huyu mama kwenye kutumika na CCM wakati Lyatonga akiwa juuJirani na kibo bar kuna nyumba pembeni ya Mke wa Lyatonga
Mlichangia pakubwa sana kummaliza kisiasa na kiuchumiNi kweli ila aliharibu kuingia siasa .Alikuwa Ni meanasheria mahiri ambaye alikuwa na wateja wenginkuliko wakili yeyote Tanzania kabla ya kujiunga na siasa .Kuingia ofisii yake tu ulikuwa unalipia pesa siio kidogo.Sio za kumuona Bali za kueleza shida yako mapokezi ili ishugulikiwe...
Alifulia alikua anaendesha land cruser lake bovu bovu hivi ha ha ha ha ha mwalimu wangu huyu alikua anakula ndizi mbivu na bia ana misimamo yake migumu hivi muda wote huwa anahisi kuna watu wametumwa waje kumuua alikua hali mgahawani kwenye hizi restaurants.Mlichangia pakubwa sana kummaliza kisiasa na kiuchumi
Nakumbuka leseni yake ya uwakili ilipoisha muda wake mkamfanyia figisu asipate mpya.. akakimbilia Zenji huko akapata leseni na kufanya kazi kwa mwaka mmoja, ilipoisha nayo mkatia fitina.. Akakosa leseni...
Usituzeeshe[emoji23]Old is gold... I wish I can turn back the time.. Nadhani tunazeeka sasa [emoji25][emoji144]
Jr[emoji769]
Na walipoingia Bungeni kwa mara ya kwanza, walisababisha wabunge wengine waape mara mbili, baada ya hao wapinzani kukataa kuapa kwa kiapo cha KI CCM CCM. Ikabidi kibadirishwe, na waliokuwa tayari wameapa, warudie kwa kiapo kipya kisicho cha KIITIKADI!yes, performance yake kisiasa iliweza kuonekana kwa vile then nchi ilikuwa inaongozwa soberly na viongozi wake hawakuwa na mtindio!
JAMES MBATIA ndio aliendesha lile vuguvugu la Mapinduzi ;kwakweli Mbatia aliwakosea sana wananchi kwa kuvuruga upinzani...na ndio kosa lile lile anataka kurudia tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alileta tafrani sana huyu mama kwenye kutumika na CCM wakati Lyatonga akiwa juu
Jr[emoji769]
Covid-19. Labda wakanusheChanzo cha kifo chake tafadhari
Duh halafu yeye na ndugu yake walikuwa hawaongei na jana tu katoka kusema bungeni eti hakuna mbunge aliyekufa kwa Corona bali ni umbea tu!Lamwai Atabaki kuwa Mwanasheria Mbobezi kupata kutokea , pamoja na kuwa maisha yake ya siasa yaliathiriwa na mgogoro wa NCCR MAGEUZI.
Dr Masumbuko Lamwai kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa marehemu alkuwa akisumbuliwa na kidonda mguuni ambacho kilikuwa hakiponi kutokana na complications zingine na kumfanya awe dhaifu karibuni, inaelezwa siku mbili zilizopita pengine kutokana na kuwa weak akapigwa na shambulio la CONVID19 , akaanza kupata changamoto ya kifua kubana , kupumua na baadaye akafariki , hakupelekwa hospitali kwa sababu zilizo wazi alikuwa akiugulia nyumbani .
ni kama wewe ulivyokuwa unasisimua miaka ya 2010s kabla ya kuchagua udiniNi miongoni mwa wanasiasa walioisisimua sana Tanzania miaka ya tisini. Mungu ampumzishe kwa amani, amina.
Utani gani huo? Kwanza hao siyo watani zako. Unazani wewe una immunity ya magonjwa haya?Wanasheria mtaisha. Bado kina Petro E. Mselewa na Ruttashobolwa na mkongwe wao Pascal Mayalla.
Inaonekana huyu jamaa nyama yenu inamvutia sana...hahahahaaa just utani msije nitoa macho.
Selasini sasa utoke bungeni ukazike. Au bado unaendelea kutumikia wananchi?
na Ukabilani kama wewe ulivyokuwa unasisimua miaka ya 2010s kabla ya kuchagua udini