Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
RIP Masumbuko.Ni miongoni mwa wanasiasa walioisisimua sana Tanzania miaka ya tisini. Mungu ampumzishe kwa amani, amina.
MMK, Wacha kujificha Covid-19 inakufanya uwe lockdown?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP Masumbuko.Ni miongoni mwa wanasiasa walioisisimua sana Tanzania miaka ya tisini. Mungu ampumzishe kwa amani, amina.
Ni kweli alilisisimua sana miaka ya tisini, ila kama angekuwa ana-practice siasa leo sidhani kama angesisimua! Serikali ya awamu hii hairuhusu wanasiasa wafanye siasa
Natamani sana maisha hayo ambayo leo hakuna, eti diamond na upuzi wa kucheza uchi ndo muziki!Old is gold... I wish I can turn back the time.. Nadhani tunazeeka sasa [emoji25][emoji144]
Jr[emoji769]
Ni huyu pekee ambaye alinifanya nitembee kutoka Kibangu mpaka Kibo kwenda kumpigia kura ya ubunge na Mrema kura ya urais
Jr[emoji769]
Shikamoo mzee....lazima saiv utakua +65yrs
Mh kweli kuna wenzangu humu. Kama umepita njia hiyo na unatoka Mlimani, then....Nakumbuka njia ya kupitia chuo cha maji unatokea kwenye tangi kubwa la maji kando ya ukuta wa Idara ya maji.Kibo kulikuwa na mdada mmoja wa kinyakyusa ana wezere balaa,unamkumbuka? Nilikuwa natola home Mlimani kwa mguu,nakatisha Chuo cha maji,natokea tankini na kupandisha Kibo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kijana mdogo wa kihaya ndio wewe?
Shalom.......shalom!
Mutayoba was a great family friend! Sijui yuko wapi maana wazee wote walishakufaMutayoba,corner ya University Road/Sam Nujoma
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu mpaka ghadhabu zimekupanda kidogo... Mimi ndio maana huwa nawapotezea...Natamani sana maisha hayo ambayo leo hakuna, eti diamond na upuzi wa kucheza uchi ndo muziki!
Ukitaka kusuuza Unakwenda Kunduchi Beach Hotel , kulikuwa na Live band inaitwa "The Revolutons" wakipiga miziki ya Carrebean. Nilikuwa nakwenda Ijumaa jioni narudi Jpili asubihi! At that time I was a student at UDSM. sasa JF inanikutanisha na vitoto vidogo kama alivyosema Pascal Mayalla na matusi kedekede vimetoka vyuo vya kata
Sio 2015 ilikuwa 1995wewe kweli ni anko...kama ulipiga kura 2015...wewe ni wasiku nyingi mno..shikamooo anko!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marahaba, wala hujakosea. Nasikitika kuwa humu JF kuna vitoto vya chekechea vinanitukana. Nami kwa uchungu navirudishia kwa kinyongo kikubwa
Bahama mama [emoji144][emoji144][emoji144]Mh kweli kuna wenzangu humu. Kama umepita njia hiyo na unatoka Mlimani, then....Nakumbuka njia ya kupitia chuo cha maji unatokea kwenye tangi kubwa la maji kando ya ukuta wa Idara ya maji. Namkumbuka sana huyo mama! Kibo bar ndiyo ilikuwa bar mashuhuri eneo hilo enzi hizo! Ukitaka muziki unakwenda White House kuna Maquis, Tour and Hunters kuna Mzee makassy na Orchestra Makassy! Maisha bado mazuri na Nyerere wetu anatupa hela ya kukaa nje ya chuo ili wanaotoka mbali wapate nafasi chuoni!
Exactly, Bahama mama. Ukichoka unakwenda Stop over kwa Ndekule na Orchestra Safari sound na Ndala kasheba!Bahama mama [emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]