TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

Ni kweli alilisisimua sana miaka ya tisini, ila kama angekuwa ana-practice siasa leo sidhani kama angesisimua! Serikali ya awamu hii hairuhusu wanasiasa wafanye siasa

Where are you? Come back with all the good news. Wacha kujifungia.
 
Old is gold... I wish I can turn back the time.. Nadhani tunazeeka sasa [emoji25][emoji144]

Jr[emoji769]
Natamani sana maisha hayo ambayo leo hakuna, eti diamond na upuzi wa kucheza uchi ndo muziki!

Ukitaka kusuuza Unakwenda Kunduchi Beach Hotel , kulikuwa na Live band inaitwa "The Revolutions" wakipiga miziki ya Carrebean. Nilikuwa nakwenda Ijumaa jioni narudi Jpili asubihi! At that time I was a student at UDSM. sasa JF inanikutanisha na vitoto vidogo kama alivyosema Pascal Mayalla na matusi kedekede vimetoka vyuo vya kata
 
Ni huyu pekee ambaye alinifanya nitembee kutoka Kibangu mpaka Kibo kwenda kumpigia kura ya ubunge na Mrema kura ya urais

Jr[emoji769]

wewe kweli ni anko...kama ulipiga kura 2015...wewe ni wasiku nyingi mno..shikamooo anko!
 
Kibo kulikuwa na mdada mmoja wa kinyakyusa ana wezere balaa,unamkumbuka? Nilikuwa natola home Mlimani kwa mguu,nakatisha Chuo cha maji,natokea tankini na kupandisha Kibo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh kweli kuna wenzangu humu. Kama umepita njia hiyo na unatoka Mlimani, then....Nakumbuka njia ya kupitia chuo cha maji unatokea kwenye tangi kubwa la maji kando ya ukuta wa Idara ya maji.

Namkumbuka sana huyo mama! Kibo bar ndiyo ilikuwa bar mashuhuri eneo hilo enzi hizo! Ukitaka muziki unakwenda White House kuna Maquis, Tour and Hunters kuna Mzee makassy na Orchestra Makassy! Maisha bado mazuri na Nyerere wetu anatupa hela ya kukaa nje ya chuo ili wanaotoka mbali wapate nafasi chuoni!
 
RIP Dr Lamwai.

Nje ya mada kidogo kwa nia ya kujifunza tu:

Joseph Roman Selasini v. Masumbuko Lamwai

Ilikuwaje surnames za hawa ndugu wawili zikawa tofauti?
 
Natamani sana maisha hayo ambayo leo hakuna, eti diamond na upuzi wa kucheza uchi ndo muziki!

Ukitaka kusuuza Unakwenda Kunduchi Beach Hotel , kulikuwa na Live band inaitwa "The Revolutons" wakipiga miziki ya Carrebean. Nilikuwa nakwenda Ijumaa jioni narudi Jpili asubihi! At that time I was a student at UDSM. sasa JF inanikutanisha na vitoto vidogo kama alivyosema Pascal Mayalla na matusi kedekede vimetoka vyuo vya kata
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu mpaka ghadhabu zimekupanda kidogo... Mimi ndio maana huwa nawapotezea...

Jr[emoji769]
 
Marahaba, wala hujakosea. Nasikitika kuwa humu JF kuna vitoto vya chekechea vinanitukana. Nami kwa uchungu navirudishia kwa kinyongo kikubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Mh kweli kuna wenzangu humu. Kama umepita njia hiyo na unatoka Mlimani, then....Nakumbuka njia ya kupitia chuo cha maji unatokea kwenye tangi kubwa la maji kando ya ukuta wa Idara ya maji. Namkumbuka sana huyo mama! Kibo bar ndiyo ilikuwa bar mashuhuri eneo hilo enzi hizo! Ukitaka muziki unakwenda White House kuna Maquis, Tour and Hunters kuna Mzee makassy na Orchestra Makassy! Maisha bado mazuri na Nyerere wetu anatupa hela ya kukaa nje ya chuo ili wanaotoka mbali wapate nafasi chuoni!
Bahama mama [emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Poleni sana wana familia . Hasa ndugu na school mate wangu Roman Masumbuko Lamwai. Mungu awape faraja.
 
Kutokana na maelezo ya mbunge wa Rombo mheshimiwa Selasini ya kwamba Masumbuko Lamwai ni Tumbo moja wana share baba na mama.

Je kwanini aliitwa Masumbuko Lamwai bila kutumia Selasini nahisi ndio jina la ukoo wao?

R.I.P mwalimu Masumbuko Lamwai.
 
Back
Top Bottom