TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

Nakumbuka kituko kimoja nikiangalia malumbano yake bungeni alimbana sana na kushusha hadhi mbunge aliyekuwa anasemekana ana degree saba.Tulibahatika kuona kupitia TV za Mengi alizokuwa ameweka maeneo ya umma
 
Ni kweli ila aliharibu kuingia siasa .Alikuwa Ni meanasheria mahiri ambaye alikuwa na wateja wenginkuliko wakili yeyote Tanzania kabla ya kujiunga na siasa .Kuingia ofisii yake tu ulikuwa unalipia pesa siio kidogo.Sio za kumuona Bali za kueleza shida yako mapokezi ili ishugulikiwe...
Mlichangia pakubwa sana kummaliza kisiasa na kiuchumi
Nakumbuka leseni yake ya uwakili ilipoisha muda wake mkamfanyia figisu asipate mpya.. akakimbilia Zenji huko akapata leseni na kufanya kazi kwa mwaka mmoja, ilipoisha nayo mkatia fitina.. Akakosa leseni.

Mambo yalipozidi kuwa tight akarudi bongo akiwa hana mbele wala nyuma mpaka alipoomba poh na kujisalimisha CCM... Kwa ushenzi uleule mkamtupa ghalani kama scraper mpaka mauti yanamfika.. Karma is bitch kuna siku itawarudia

Jr[emoji769]
 
Mlichangia pakubwa sana kummaliza kisiasa na kiuchumi
Nakumbuka leseni yake ya uwakili ilipoisha muda wake mkamfanyia figisu asipate mpya.. akakimbilia Zenji huko akapata leseni na kufanya kazi kwa mwaka mmoja, ilipoisha nayo mkatia fitina.. Akakosa leseni...
Alifulia alikua anaendesha land cruser lake bovu bovu hivi ha ha ha ha ha mwalimu wangu huyu alikua anakula ndizi mbivu na bia ana misimamo yake migumu hivi muda wote huwa anahisi kuna watu wametumwa waje kumuua alikua hali mgahawani kwenye hizi restaurants.
 
Lamwai Atabaki kuwa Mwanasheria Mbobezi kupata kutokea , pamoja na kuwa maisha yake ya siasa yaliathiriwa na mgogoro wa NCCR MAGEUZI.

Dr Masumbuko Lamwai kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa marehemu alkuwa akisumbuliwa na kidonda mguuni ambacho kilikuwa hakiponi kutokana na complications zingine na kumfanya awe dhaifu karibuni.

Inaelezwa siku mbili zilizopita pengine kutokana na kuwa weak akapigwa na shambulio la COVID19, akaanza kupata changamoto ya kifua kubana , kupumua na baadaye akafariki, hakupelekwa hospitali kwa sababu zilizo wazi alikuwa akiugulia nyumbani.
 
yes, performance yake kisiasa iliweza kuonekana kwa vile then nchi ilikuwa inaongozwa soberly na viongozi wake hawakuwa na mtindio!
Na walipoingia Bungeni kwa mara ya kwanza, walisababisha wabunge wengine waape mara mbili, baada ya hao wapinzani kukataa kuapa kwa kiapo cha KI CCM CCM. Ikabidi kibadirishwe, na waliokuwa tayari wameapa, warudie kwa kiapo kipya kisicho cha KIITIKADI!

Ingekuwa leo hii, sidhani kama akina NDUGAI, MSUKUMA, JENISTER, LUSINDE na kale katoto ka mama KOMBANI kama wangekubali kushindwa!

Kulikuwa na USTAARABU!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alileta tafrani sana huyu mama kwenye kutumika na CCM wakati Lyatonga akiwa juu

Jr[emoji769]
JAMES MBATIA ndio aliendesha lile vuguvugu la Mapinduzi ;kwakweli Mbatia aliwakosea sana wananchi kwa kuvuruga upinzani...na ndio kosa lile lile anataka kurudia tena
Ndio maana watu kama Augustine Mrema , hawatakaa wamsamehe Mbatia hadi anaingia kaburini
 
Lamwai Atabaki kuwa Mwanasheria Mbobezi kupata kutokea , pamoja na kuwa maisha yake ya siasa yaliathiriwa na mgogoro wa NCCR MAGEUZI.

Dr Masumbuko Lamwai kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa marehemu alkuwa akisumbuliwa na kidonda mguuni ambacho kilikuwa hakiponi kutokana na complications zingine na kumfanya awe dhaifu karibuni, inaelezwa siku mbili zilizopita pengine kutokana na kuwa weak akapigwa na shambulio la CONVID19 , akaanza kupata changamoto ya kifua kubana , kupumua na baadaye akafariki , hakupelekwa hospitali kwa sababu zilizo wazi alikuwa akiugulia nyumbani .
Duh halafu yeye na ndugu yake walikuwa hawaongei na jana tu katoka kusema bungeni eti hakuna mbunge aliyekufa kwa Corona bali ni umbea tu!
 
Back
Top Bottom