Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hoyce Temu dadake na Rachel Temu
Simkumbuki huyuKuna mmoja jina limenitoka kabisa, alikuwa 2003 au 2004, alikuwa mweupe halafu mnene, sijawahi kumsikia baada ya hapo.
Nilikuwa namwona chuo miaka hiyo, ila baada ya kumaliza sikumsikia tena.
Ni either before au after Happiness Magesa.
Mjukuu wa Kinjekitile Ng'wale.Kinje ni nani?
Simkumbuki huyu
Wengine wamekuja mjini walipoanza chuo na fuko LA ramboTtzo ni kuwa hakuwa mjini kipindi hicho
Ushasikia Slyvia bahame na akina Richa Adhia wakiwa na drama hizi au akina Angela DamasMiss TZ ambaye ameweza kuilinda heshima yake katika jamii kwa kiwango cha kujitahidi ni somebody temu
Kuna Angela Damas nakumbuka alikuwepo nae miaka hiyo hiyoBaada ya Jack 2000, series imenipotea hapo mpaka kufika kwa Sema 2006.
Yuko huko na kina Faraja, Happy Magese, kuna mmoja kama chotara then yeye.
Hili jamaa lilikuwa pasua kichwa sana.Kwa kweli, kuna kesi moja aligonga gari, alipokamatwa na traffic alipiga simu akaambiwa nipe huyo askari niongee nae.
Masikini yule Askari sijui aliambiwa nini, lakini alivyofika nyumbani alijiua.
Hao mpaka tumewasahau. Wako zao busy na maisha yaoUshasikia Slyvia bahame na akina Richa Adhia wakiwa na drama hizi au akina Angela Damas
Wako kimya wanafanya maisha yao hawana hizi born town dangaling hahahahah
Angela Damas au slyvia bahameKuna mmoja jina limenitoka kabisa, alikuwa 2003 au 2004, alikuwa mweupe halafu mnene, sijawahi kumsikia baada ya hapo.
Nilikuwa namwona chuo miaka hiyo, ila baada ya kumaliza sikumsikia tena.
Ni either before au after Happiness Magesa.
Angela Damas ndiye chotara niliyemaanisha hapo (nilikuwa namwona kama chotara).Kuna Angela Damas nakumbuka alikuwepo nae miaka hiyo hiyo
Angela Damas au slyvia bahame
Ooh.. Sylvia alikuaga black beauty fulani hivii mrembo kweli kweliAngela Dramas ndiye chotara niliyemaanisha hapo (nilikuwa namwona kama chotara).
Sylvia Bahame anaitwa, huyu sijawahi msikia popote.
Ooh.. Sylvia alikuaga black beauty fulani hivii mrembo kweli kweli
Kumbe na wewe unaijua ze utamu,ndo inasemekana hivyo.Pesa ndo zinambeba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinje ndio alikuwa na bifu na Mengi baada ya kuchukuliwa mwanamke, Mengi hawezi kuwa na bifu na underdog kama kinje na hilo bifu lenyewe haliku materialize
Anampitia kivipi mkuu?nilisikia kwenye ze utamu huyo kinje anampita le mutuz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Fide naye ni pini na kufanana kote na Mpoki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Code kwenye computer hapa weka stori tu kiranja mkuu.