sahihisho:Frank Koga
Ohoooo!!!huko mjini magonjwa wanayodai ya ngono hayaogopeki ukiangalia hapo kuna kama kacheni kamezunguka zunguka.Hata Dr. wa Jacky ametelezesha nyoka kwa huyu.
Huu uzi, umenifumbua yale niliyokuwa nahisi na zile fununufununu duh, ndo maana watu wengine kuolewa town ni nadra sana, hadi atokeeee wa kuja ndo anauvagaaUlifikiri mzee baba alianza? Watu walimuona wa ajabu alipoanza kutoka na bongo fleva.
Huko Karagwe ndio kwakina huyo madam?na alikwenda na hiyo helicopter kufanya nini kumchukua au ni jambo gani lilimpeleka huko?Jack alikuwa rafiki Wa madam Rita, baada ya madamu kutofautiana na mengi basi jack nae kapenya.
N.b kitu ambacho sitosahau mengi alikuwa mwanaume wa kwanza kwenda karagwe mulongo na helicopter kwa ajili ya madam.
Hahahahah ndo uhalisiaOhooo!!!yule tall naye kamtelezeshea nyoka nilijuwa tu hao jamaa wachache waliopasiana.
Huko mjini kumbe sio kwa kuja kupapalikia mabinti unaweza pita nae sehemu watu wanakung'ong'a tu.
Mwasu nakuamini sana kwenye mastory ya town mkuu lakini kagua vizuri mafaili hapo..Mkuu Mengi hakumchukua Jacky kwa Kinje, Mengi amemchukua Jacky akiwa hana bwana wa maana, alikuwa anajizungusha pale Kilimanjaro hotel, bi dada kutwa na maifile anakaa anajifanya yuko busy kumbe alikuwa anadanga, kama zile file zilikuwa na maandishi itakuwa ni mistari ya bongo fleva tu.. Kinje aliporwa na mzungu, mzungu akamla akaenda kumuacha south Africa , wakarudi na shoga ake WAPOLE..
Mkuu fuatilia vizuri.. Anzia tu bifu la marehemu na kinje utapata jibu. Very simple[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mleta post naona katupiga kamba eti"lilikuwa bifu zito pesa ikashinda"
Unajua chochote kuhusu huyo Mzungu mbulugaria na project alizokuwa anawafanyisha wadada wa mjini huko bondeni?
Malizia tu hahahahaMwasu nakuamini sana kwenye mastory ya town mkuu lakini kagua vizuri mafaili hapo..
Kinje na Mengi washaingia kwenye bifu kisa huyu sister mpaka kutishiana bunduki. Ishu ikazimwa na wanene.
Hiyo ya kutoka na mzungu pia niliisikia lakini ni kabla ya varangati hilo tajwa.
Kwa ufupi, hawa mamiss walikuwa desperate sana enzi zile na makuwadi wakubwa walikuwa mzee Lunde, ShiBalimi na mzee mmoja namheshimu siwezi kumtaja hapa..
Mwasu nakuamini sana kwenye mastory ya town mkuu lakini kagua vizuri mafaili hapo..
Kinje na Mengi washaingia kwenye bifu kisa huyu sister mpaka kutishiana bunduki. Ishu ikazimwa na wanene.
Hiyo ya kutoka na mzungu pia niliisikia lakini ni kabla ya varangati hilo tajwa.
Kwa ufupi, hawa mamiss walikuwa desperate sana enzi zile na makuwadi wakubwa walikuwa mzee Lunde, ShiBalimi na mzee mmoja namheshimu siwezi kumtaja hapa..
[/QUOKinje alinyang'anywa na mzungu sio Dr. ugomvi labda issue nyingine halafu DR. ilikuwa uki mcheat anakumwaga, hakuwa na muda wa kushare au kubembeleza..Labda alimletea dharau kwa kuwa anatoka na dem ambae anamjua nae kesha mfunua funua mzee akachukia.
Na alikua anacheza pool mbaya mnoo!!!bangi alikua anatumia mbonaAlikua anakula fegi huyo Miss na wajuvi wa mambo walikua wanasema hata msuba alikua anamoka
See? Alinyang'anganywa. Hapo sawa.Mzee hakuwa na muda wa kubembeleza demu akujua ume mcheat anakumwaga mazima, Kinje alinyang'anywa na mzungu sio DR. ugomvi labda Kinje alimletea DR. dharau kwaa kuwa anatoka na demu alietoka nae na ukizingatia alinyang'anywa labda alikuwa anataka kumuharibia bi dada nae akaenda kujiliza kwa mzee ili asiachwe, maana alishajua katoka kimaisha..ila DR. kugombania demu hapana.
Ni binti wa kutokea chuga hadi anatumia hayo makitu?Na alikua anacheza pool mbaya mnoo!!!bangi alikua anatumia mbona
Alinyang'anywa na mzungu sio DR.. kwa hiyo alikuwa na hasira nae labda akawa anamtishia, bibi akaomba msaada hunda, ila machache agombee demu never, angeanza kwa madam basi maana pale alifika mpaka kuruka ukuta si mchezo.See? Alinyang'anganywa. Hapo sawa.
Tafuta nauli njoo mjini utamjuaKwa sisi wa vijijini Kinje hatumfaham
Hebu tupe hiyo ya kuruka ukutaayang'anywa na mzungu sio DR.. kwa hiyo alikuwa na hasira nae labda akawa anamtishia, bibi akaomba msaada hunda, ila machache agombee demu never, angeanza kwa madam basi maana pale alifika mpaka kuruka ukuta si mchezo.
Mkuu unavyokataa kuwa machache hawezi kugombea demu basi hujayajua vizuri mapenzi [emoji16][emoji16][emoji16]ayang'anywa na mzungu sio DR.. kwa hiyo alikuwa na hasira nae labda akawa anamtishia, bibi akaomba msaada hunda, ila machache agombee demu never, angeanza kwa madam basi maana pale alifika mpaka kuruka ukuta si mchezo.
Hahaha ile ya kuruka ukuta kukimbia msala wa Mama Merci au? Maisha haya!Alinyang'anywa na mzungu sio DR.. kwa hiyo alikuwa na hasira nae labda akawa anamtishia, bibi akaomba msaada hunda, ila machache agombee demu never, angeanza kwa madam basi maana pale alifika mpaka kuruka ukuta si mchezo.