Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Huu ni uongo mtupu, Kinje alimtelekeza South Africa yeye na Rafiq yake, wakaokolewa na mzungu akawa anaishi naye kama two weeks ndipo akarudi tz, Kipindi hicho Dr. Akikamua madame, baadaye kabla ya kuamua kuwa mwanamziki na kuimba na bushoke tayari Kinje alikuwa ashaoa. Dr. Walikutana akiwa ashaachana na Kinje muda Kipindi hicho tunakunywa Jacky's na dids baadaye bar one ya Kinje
 
Huyu Lydia na Mariam sijawahi wasikia kabisa

Huyu lydia alikuwa anafanya kazi EATV, kuna kipind alikuwa na fema/femina programme yupo vizuri kimtindo in terms of akili mingi(intelligent haswaa), so unaweza ku connect dot hapo na regina, salama na vee

Huyu mariam nilifahamiana nae kipind cha nyuma kama 2009, kawakoboa sana akina sepenga, wolpa,...huyu ashaish kinyumba kabisa waulpa
 
W
Huyu dem Kabla ya kinje alikuwa na mzungu mmja mbulgaria mzungu huyo alikuwa na kampuni ya mambo ya bahati nasibu lotto Olympic
Hivi unakumbuka kile kisanga cha wadada kupelekwa dizonga wakafichwa huko ila walirudi kwa utata bongo?

Ova
Wewe ndiye mkweli story naikumbuka sana. Enzi hizo tunakutana sana jakys na didis o.bay
 
Kuna Miss Tanzania ambaye yuko kimya sana. Anaitwa Sylvia Bahame. Mwingine ni Angela Damas (chotara). Huyu sijajua yuko wapi mpaka leo huyu Damas

Huyu Sylvia ndiye nilikuwa namsemea, mara ya mwisho kumwona ilikuwa 2006 na sijamsikia tena.
 
Lydia ndio yule wa Femina talk show mhaya?
 
Duuuh wewe ni Mkongwe mwenzangu.
 
Jimmy Kabwe si ndiye yule mtangazaji aliyefupisha jina lake kutoka Jumanne Kabwela?
Ndiye. Alikuwa anasokota dread. Mzaramo nadhani.

Nakumbuka Salama Jabir alikuwa anapenda sana kumtania kuhusu jina lake.

Ila kusema ukweli jamaa ni mbunifu. Jumanne Kabwela halikuwa na swaga kabisa aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 

Bado point yako ni ya kiwack
Hayo yote unayosema sio sahihi....nakula 'kitu' kwa sana tokea 2008 na sijawah kumtukana ata mbuzi.
Na usikariri kwamba 'kitu' ni kwa ajili ya vijana tu. Kwa taarifa yako hadi madingi wanakula 'kitu' na wako fresh sasa hiyo point yko sijui ina apply wapi!
 

Kwa hiyo kumbe serikali inafanya makosa kukataza watu kuvuta bange kwa mujibu wa sheria?
Serikali haiwezi kuamua tu kuzuia matumizi ya kitu flani bila kupata uzoefu wa matatizo ya tokanayo na matumizi ya hicho kitu!

Nachelea kusema huenda hata utafiti ulifanyika na kuona kuwa bange iko na madhara makubwa sana kwenye jamii.

Nchi nyingi zinakataza matumizi ya bange siyo TZ tu !
Je na hizo nchi nyingine wanakosea kukataza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…