City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Aisee!Kinjikitile ngwale yule wa majimaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!Kinjikitile ngwale yule wa majimaji
Heee hii Kali,never knew ,JoJo ...makubwa hayaYes yes... Hizo ndio kapo zilizoachana na majina yakabaki kama wamezaliwa nayo
Duh!Yaani Fide naye ni pini na kufanana kote na Mpoki?
Labda alimaanisha unaandika aya kama kumi hivi kwa lugha ya malkia.Hivi mtu unaandikaje "Fluently"??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huu ni uongo mtupu, Kinje alimtelekeza South Africa yeye na Rafiq yake, wakaokolewa na mzungu akawa anaishi naye kama two weeks ndipo akarudi tz, Kipindi hicho Dr. Akikamua madame, baadaye kabla ya kuamua kuwa mwanamziki na kuimba na bushoke tayari Kinje alikuwa ashaoa. Dr. Walikutana akiwa ashaachana na Kinje muda Kipindi hicho tunakunywa Jacky's na dids baadaye bar one ya KinjeHaikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda..
Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure..
Mengi alikuwa ana ofisi yake maalum ya kufanya mikutano na vijana waliokuwa wakihitaji 'kusapotiwa'. Wengi walipata msaada wake. Nilicheka nilivyosikia Jacky anasema walikutana kwenye ndege! Hassanali anajua zaidi..
Msimu huo ulikuwa ni vita pia kwa wadada wa mjini.. Wenyewe waliita mawindo.. Kila mmoja alitaka kupata a finer catch..
Zile nyimbo za K-Lyinn mostly zilimhusu Kinje na madongo kwa mashosti zake... Mambo ya kuporana wanaume..
Pale Makumbusho jirani na eagle wing kuna members only club.. MPs, Ministers, CEOs, Moguls, Dons na Diplomats wanaenda kurefresh.. VIPs only.. PIMPs wa enzi hizo wanajua zaidi... Da' Mange naye kachezea sana mikasi pale.. Niishie hapo. Sitaki kuharibu swaum za watu!
Bifu la Kinje na Mengi halikuwa la kibiashara!
Huyu Lydia na Mariam sijawahi wasikia kabisa
Wewe ndiye mkweli story naikumbuka sana. Enzi hizo tunakutana sana jakys na didis o.bayHuyu dem Kabla ya kinje alikuwa na mzungu mmja mbulgaria mzungu huyo alikuwa na kampuni ya mambo ya bahati nasibu lotto Olympic
Hivi unakumbuka kile kisanga cha wadada kupelekwa dizonga wakafichwa huko ila walirudi kwa utata bongo?
Ova
Viwanja vyake wapi na mm nimkamatie?Hataki uzee kabisa.. ukimkuta club utasema kabinti kuanzia kalivyo vaa mpaka mikogo
Sylvia Bahame...Baada ya Jack 2000, series imenipotea hapo mpaka kufika kwa Sema 2006.
Yuko huko na kina Faraja, Happy Magese, kuna mmoja kama chotara then yeye.
Sylvia Bahame...
Kuna Miss Tanzania ambaye yuko kimya sana. Anaitwa Sylvia Bahame. Mwingine ni Angela Damas (chotara). Huyu sijajua yuko wapi mpaka leo huyu DamasBaada ya Jack 2000, series imenipotea hapo mpaka kufika kwa Sema 2006.
Yuko huko na kina Faraja, Happy Magese, kuna mmoja kama chotara then yeye.
Kuna Miss Tanzania ambaye yuko kimya sana. Anaitwa Sylvia Bahame. Mwingine ni Angela Damas (chotara). Huyu sijajua yuko wapi mpaka leo huyu Damas
Lydia ndio yule wa Femina talk show mhaya?Huyu lydia alikuwa anafanya kazi EATV, kuna kipind alikuwa na fema/femina programme yupo vizuri kimtindo in terms of akili mingi(intelligent haswaa), so unaweza ku connect dot hapo na regina, salama na vee
Huyu mariam nilifahamiana nae kipind cha nyuma kama 2009, kawakoboa sana akina sepenga, wolpa,...huyu ashaish kinyumba kabisa waulpa
Duuuh wewe ni Mkongwe mwenzangu.Huu ni uongo mtupu, Kinje alimtelekeza South Africa yeye na Rafiq yake, wakaokolewa na mzungu akawa anaishi naye kama two weeks ndipo akarudi tz, Kipindi hicho Dr. Akikamua madame, baadaye kabla ya kuamua kuwa mwanamziki na kuimba na bushoke tayari Kinje alikuwa ashaoa. Dr. Walikutana akiwa ashaachana na Kinje muda Kipindi hicho tunakunywa Jacky's na dids baadaye bar one ya Kinje
Astaghsfilullah...kunyonywa nini? Mimi Naua mtu wallah!!Hiyo ya kunyonya ninasikia yule dada aliyeliliwa na boss R ni mtaalamu sana. Hata boss R alidata.
Jimmy Kabwe si ndiye yule mtangazaji aliyefupisha jina lake kutoka Jumanne Kabwela?Alikuwa na Jimmy Kabwe kabla ya kuokotwa na hao akina kinje na huyo Mbulgaria
Ndiye. Alikuwa anasokota dread. Mzaramo nadhani.Jimmy Kabwe si ndiye yule mtangazaji aliyefupisha jina lake kutoka Jumanne Kabwela?
Wewe ndiyo bogus siyo mimi!
Nisome tena vizuri usikurupuke!
Jamaa wamesema bangi haina tatizo, mmoja akasema aliwahi tumia na hakuona tatizo.
Mimi nikasema, tatizo la bange anaetumia anaweza asione tatizo la kutumia bange isipokuwa wale wanaomzunguuka, wale atakaokutana nao baada ya kuvuta bange ndiyo wataona madhara ya Yule alovuta bange ,
Mfano wale atakaokutana nao wanawezwa kutukanwa, kupigwa , kuibiwa na Yule alovuta bange, lakini yeye alovuta anajionea sawa tu!
Mambo mengi kuyaelewa hadi uwe na akili kubwa, mwenye akili ya kiwango chako hawezi elewa kama wewe, halafu badala ya kunyoosha kidole Adela wangu uniulize vizuri nikupe ufafanuzi badala yake unaleta ujuaji? [emoji851][emoji851]
Kwa maneno mengine mpumbavu afanyapo upumbavu machoni pake hujiona sawa lakini kwa wengine ni shida!
Amezingua sana uyo jamaaUnazidi kuonesha how Bogus you are![emoji16][emoji16]
Bado point yako ni ya kiwack
Hayo yote unayosema sio sahihi....nakula 'kitu' kwa sana tokea 2008 na sijawah kumtukana ata mbuzi.
Na usikariri kwamba 'kitu' ni kwa ajili ya vijana tu. Kwa taarifa yako hadi madingi wanakula 'kitu' na wako fresh sasa hiyo point yko sijui ina apply wapi!