Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje


Kuliwa na madingi haimanishi hakufanyi bange kufaa kutumiwa na watu!
Madingi ni binadamu kama binadamu wengi kwamba wanaweza kukosea na kufanya makosa!
 

Inawezekana humtukani mtu lakini kuna mahala huenda watu hawakuelewagi nakwambia,

Jaribu kutafuta mrejesho kwa wanaokuzunguuka mara kwa mara kama hawakuogopi wako huru watakwambia ukweli!
Madhara siyo matusi tu lakini ni mengi, mwingine akivuta anakaa kimyaaaa hazungumzi chochote hata akipewa salamu na jirani njiani hajibu , sasa hiyo ni sawa?
Yani lazima kuna mahala hawakuelewi tu jaribu kutafuta mtejesho.
Ni mazingira gani yalikushawishi hadi ukaamua kuvuta bange?


Bange siyo nzuri !
 

Kuliwa na madingi hakufanyi bange kufaa kwa matumizi !
Kuna madingi wanakunywa gongo je hiyo ifanye gongo kufaa kwa matumizi?
Kuna madingi ni wazinifu waliokubuhu kwenye mfumo huo wa maisha , je tuseme kwa kuwa madingi wanazini kwa hiyo tabia ya uzinzi inafaa ?

Tafakali kisha chukua hatua ,

Maisha ya utii wa sheria bila shuruti yanawekana!
 
ila foleni yao ndefu, jojo, madam, magese haya ndio akaja mjane Jaky
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hamna iache tu
Nimestuka maana angeniita mtu mwingine nisingejali ila sio wewe hahahha,
episod za tamthilia za bongo ni zinakuaga tam jamani
Tumemaliza ya Nandy na Ruge, mala Mengina Jacky, Mala Gwajima sasa hatuna hata muda na Shamimu na mumewe
 
Nimestuka maana angeniita mtu mwingine nisingejali ila sio wewe hahahha,
episod za tamthilia za bongo ni zinakuaga tam jamani
Tumemaliza ya Nandy na Ruge, mala Mengina Jacky, Mala Gwajima sasa hatuna hata muda na Shamimu na mumewe
Hahaha mimi nna nini wajameni, bongo acha kabisa hyu Jack avumilie tu hizi siku chache na aombe atokee mtu wa kutupa cha kuongea....tutamsahau mazima
 
Na kipi kinachofanya isifae kwa matumizi, nipe sababu.
Na kaa ukijua bila uzinifu hata wewe usingezaliwa

 
Kuna wakati nilimuona amekwisha wala hapendezi tena, wanadai alikatwa utumbo ili akonde.
Kitabibu hii kukatwa utumbo imekaaje daktari? siku hizi haka katabia kanashika mzizi bongo. kwanza ni sehemu gani ya utumbo wanakataga? Au wanakatwaga tu appendix wakifika mtaani wanatuambia wamekata utumbo......Hahahahaha!
 
Ndiye. Alikuwa anasokota dread. Mzaramo nadhani.

Nakumbuka Salama Jabir alikuwa anapenda sana kumtania kuhusu jina lake.

Ila kusema ukweli jamaa ni mbunifu. Jumanne Kabwela halikuwa na swaga kabisa aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna mtu nilimuambia Jimmy Kabwe anaitwa Jumanne Kabwela alinibishia sisahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jimmy Kabwe si ndiye yule mtangazaji aliyefupisha jina lake kutoka Jumanne Kabwela?
N
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…