Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Kinje ndio alikuwa na bifu na Mengi baada ya kuchukuliwa mwanamke, Mengi hawezi kuwa na bifu na underdog kama kinje na hilo bifu lenyewe haliku materialize


Ndiyo maana Kinje baada ya kuona kazidiwa na Mengi alijikita zaidi kwenye uuzaji nganda akisaidiwa na Ridhiwani JK ili ampiku Mengi kwa utajiri. Yaani nashindwa kupata picha eti mwanamme unaua wenzako kwa nganda ili kumtunza demu asiye na mapenzi nawe.
 
Bangi haina shida kweli. Sio mtumiaji but I have tried it a couple of times na haikuwahi kuniletea shida.

Nazani hainashida kwa anayeitumia isipokuwa kwa wale wanaomzunguuka!

Mfano; jambazi akivuta bange ili impe roho ya ukatili anapoenda kuiba , kwa jambazi alovuta ataona haina shida lakini kwa upande wa wale wanaoenda kuvamiwa na kuibiwa na kupigwa hakika wao wataona bangi ni mbaya na mazara yake ni makubwa kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom