Fideline iranga a.k.a black beuty
Baby
f...i ni nani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby
f...i ni nani ?
Ila huyu baba tuseme ukweli mchunguu alikua Malaya km wengine!!!!mi nilisikia Jacky alimwiba Mzee Mengi Kwa happiness Magese! Wanasema mzee alikuwa hataki mambo ya kujifichaficha, ila Happiness hakutaka watu wajue so Jacky akanyakua Mzee
Sasa hivi hata mke anamshare na Salama Jabir na ubavu wa kumkomesha hana.Inaonekana Kinje alikuwa hatari mjini,maana mastori yanayomhusu yamejaa tele,hivi bado anakimbiza town au mawingu yameanza kutanda?
Kigoda alikua jirani yangu Dodoma pua na mdomo amejenga vikota vyake vzr!!!kule nyumba 300 vipo km 8 hivi nae alikua yumooo!!!Omar kigoda
Hata Mzee Machache nae nasikia Alipitia sana hapo kwa muheshimiwa JOJO hahahHuyu binti naye kumbe vijana wamepasiana?
I just love you sky niliwahi kuisikia hiyo storySasa hivi hata mke anamshare na Salama Jabir na ubani wa kumkomesha hana.
Mkuu umeniacha futi mia kabisaSasa hivi hata mke anamshare na Salama Jabir na ubani wa kumkomesha hana.
kwamba akakalie Mali za.....?Jack aliona amfuate Mengi mwenye pesa zake,sio Kinje mwenye kutegemea za mzee Kingunge. Kije arudie sasa koloni lake.
Bogus Point of view and expression!Nazani hainashida kwa anayeitumia isipokuwa kwa wale wanaomzunguuka!
Mfano; jambazi akivuta bange ili impe roho ya ukatili anapoenda kuiba , kwa jambazi alovuta ataona haina shida lakini kwa upande wa wale wanaoenda kuvamiwa na kuibiwa na kupigwa hakika wao wataona bangi ni mbaya na mazara yake ni makubwa kwenye jamii.
Mnaandika nusunusu ili iweje sasa??..si bora mtu ukae kimya??
Kibamia au 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nilisikia kwenye ze utamu huyo kinje anampita le mutuz
Unahamaje nchi kwa Maneno ya Chuki toka kwa Loosers!? Jacky kashaula hata muandike humu hadi vidole vikauke ukweli ni kwamba kashawaacha mbali sana Kiuchumi na kwa vitu vingi tu. Acheni Roho mbaya na kupenda kusema watu as if nyie ni angels.Siri za Jaky Mengi nje nje wiki hii, lol Watz hahah, Ningekuwa Jack nahama nchi baada ya msiba lol
Bogus Point of view and expression!
Alikuwa mkali kwa watoto wa Mama wachache sana waliokuwa wanashoboka nae. Kwenye the realiest list ya Dons wa Dar hayumo!Inaonekana Kinje alikuwa hatari mjini,maana mastori yanayomhusu yamejaa tele,hivi bado anakimbiza town au mawingu yameanza kutanda?
Unazidi kuonesha how Bogus you are!😁😁Wewe ndiyo bogus siyo mimi!
Nisome tena vizuri usikurupuke!
Jamaa wamesema bangi haina tatizo, mmoja akasema aliwahi tumia na hakuona tatizo.
Mimi nikasema, tatizo la bange anaetumia anaweza asione tatizo la kutumia bange isipokuwa wale wanaomzunguuka, wale atakaokutana nao baada ya kuvuta bange ndiyo wataona madhara ya Yule alovuta bange ,
Mfano wale atakaokutana nao wanawezwa kutukanwa, kupigwa , kuibiwa na Yule alovuta bange, lakini yeye alovuta anajionea sawa tu!
Mambo mengi kuyaelewa hadi uwe na akili kubwa, mwenye akili ya kiwango chako hawezi elewa kama wewe, halafu badala ya kunyoosha kidole Adela wangu uniulize vizuri nikupe ufafanuzi badala yake unaleta ujuaji? [emoji851][emoji851]
Kwa maneno mengine mpumbavu afanyapo upumbavu machoni pake hujiona sawa lakini kwa wengine ni shida!
Salama anamla mke wa Kinje AnitaMkuu umeniacha futi mia kabisa
Nikipata nauli nahamia Dar maana inaonekana kuna mambo mengi,wa mikoani tunacomment wapi?Huyo mbulgaria alikuwa Mafia alafu bonge la mhuni wa madem,alishigi na mtu fulani nakumbka moroco pale
Kumbukeni kisanga kile cha wadada fulani walipelekwa dizonga waliambiwa kuna tangazo wanaenda kufanya hko la biashara
Kufika hko ikawa ndivyo sivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbka mpk interpol waliingilia kati
Na huyo mbulgaria mpk leo hjarudi bongo
Ngj tuishie hpo
Ova
Unazidi kuonesha how Bogus you are![emoji16][emoji16]
Salama anamla mke wa Kinje Anita