Wewe ndiyo bogus siyo mimi!
Nisome tena vizuri usikurupuke!
Jamaa wamesema bangi haina tatizo, mmoja akasema aliwahi tumia na hakuona tatizo.
Mimi nikasema, tatizo la bange anaetumia anaweza asione tatizo la kutumia bange isipokuwa wale wanaomzunguuka, wale atakaokutana nao baada ya kuvuta bange ndiyo wataona madhara ya Yule alovuta bange ,
Mfano wale atakaokutana nao wanawezwa kutukanwa, kupigwa , kuibiwa na Yule alovuta bange, lakini yeye alovuta anajionea sawa tu!
Mambo mengi kuyaelewa hadi uwe na akili kubwa, mwenye akili ya kiwango chako hawezi elewa kama wewe, halafu badala ya kunyoosha kidole Adela wangu uniulize vizuri nikupe ufafanuzi badala yake unaleta ujuaji? [emoji851][emoji851]
Kwa maneno mengine mpumbavu afanyapo upumbavu machoni pake hujiona sawa lakini kwa wengine ni shida!