Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

Mtu aliyesoma computer ya miaka ya 70 aje kufanya mapinduzi kwenye technology ya miaka hii hapana"
Sema ataleta changamoto 2 ila swala la technology mpya wataajiri vijana ambao wanaufahamu mzr wa new technology system
Mkuu sio kusoma tu. Huyu mtu sio tu amesomea, pia amefundisha. Inamaana amefundisha computer ya miaka 70?
 
Asante kwa taarifa. Na je alipopolekwa NEC wakati uchaguzi ukikaribia 2015 ilikuwa kwa ajili ya nini na kutoka baada ya uchaguzi?

Wadau naomba kufahamishwa.
May be alienda kusaidia kuandika codes za kuincrement kura za kijani,u neva no..
 
Tanzania ya sasa inahitaji wakuu wenye hofu ya Mungu.

Dr. Kipilimba anastahili hii nafasi.
hofu ya Mungu na visasi wapi nawapi alafu na Mungu hajaribiwi kama wao ambavyo hawapendi kujaribiwa
 
nisome yote hayo kwa faida gani?
Nmecheka sana.Kusoma tu hio habari ndio unaona kazi?.Lakini ingekuwa story za udaku utamaliza hata page 200.Kama Mamdenyi unaona kazi kusoma hio habari basi uwe unawanunulia wanao vitabu wapende kusoma soma angali wadogo.
 
Karibu sana Idarani huku ukitambua ujasusi ni zaidi ya kuwa mtaalam wa TEHAMA
 
Sijaona kosa la mwandishi hapo. And besides hiyo ni habari ameitoa kwenye gazeti. Wala sio mtu tu kaja kujiandikia hapa. Na pia kama ingekuwa haya mambo ni ya siri kwa kiasi hicho , sidhani kama uteuzi ungefanyika hadharani na kutangazwa kwa wananchi wote.

Kabla ya kuanza kulaumu , uwe na hoja.

Am out
 
Karne hii sio kabisa kutumia miguvu! Kuna vijana wako vizuri sana ila wameloawea ughaibuni sababu ya fitna! Akirejea Watamuua tu acha akae huku huko! Afundishe nchi zilizoendelea kuhusu inteligence! Hapa zibakie sihasa tu
 
Karne hii sio kabisa kutumia miguvu! Kuna vijana wako vizuri sana ila wameloawea ughaibuni sababu ya fitna! Akirejea Watamuua tu acha akae huku huko! Afundishe nchi zilizoendelea kuhusu inteligence! Hapa
zibakie sihasa tu

Nani huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…