Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

Ni Usalama wa Taifa. Haya tuambie unataka nini sasa?
 
Waumini wake wanasema ni mtumishi mzuri sana wa mungu ila mimi nasema kwenye tunapigwa na kitu kizito tunaotubu mbele za mwana-adamu.

Imagine ndio unatubu kwa mchungaji kuwa niliiba gari la serikali halafu mtumishi ndio DG halafu bado unaamini mtumishi atatunza siri
 
😁😁😁😁😁😁
 
Mlelewa Ubelgiji anatafuta kila mbinu ili aendelee kupewa hela na Amsterdam

Unachanganya mambo, Amsterdam hampi hela Tundu Lisu bali, Tundu Lisu na Genge lake ndiyo waliomlipa Amsterdam, sasa swali ni kwamba walitoa wapi fedha za kumlipa ?
 



 
Unachanganya mambo, Amsterdam hampi hela Tundu Lisu bali, Tundu Lisu na Genge lake ndiyo waliomlipa Amsterdam, sasa swali ni kwamba walitoa wapi fedha za kumlipa ?
Mtaendelea kukanyagana hadi mkome
 
Ni ndugu wa karibu katika ukoo wetu uliotawanyika me nafahamu tuu ilo. Wengine mtaongezea
 
Huyo Jambazi,Muuaji!
Moto wa Milele unamsubiri.
Mungu hadhihakiwi!
 
Yupo pia Mh. Ramadhan Ighondu, MP. Anakumbukwa pia kwa sakata la kutekwa na kuumizwa kwa Dkt. Ulimboka kipindi cha uongozi wa nchi wa awamu ya nne.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…