Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

Mkuu, unapotosha. Kipilimba hajawahi kuwa Tume ya Uchaguzi..... Bali NIDA.
 
Mbona ana thread yake humu zamani kidogo akitoka bot kwenda tume ya uchaguzi...

Hv nyie wadogo zetu mnajua kuitumia JF kweli!

Hawa watu...wamepita na sisi kwenye vipindi vigumu mno leo nyie mnataka kutafniwa...


Msinyonye nguvu..na akili za miaka mingi..ndo maana siku hz tunasoma tu...tunawaacha wenyewe....pls do your hmwrk...
 
Ni mchungaji wa kanisa la TAG (City harvest church)
Lililopo bahari beach (Ununio)

Akiwa na mchungaji mwenza Yared Dondo.

Kule kanisani ni mtu smart Sana na mchaji Mungu na hata alivyopata promotion ya kuwa DIG washirika wake walishangazwa sanaaa hana tofauti na CID wa Kilindi (kachero aliyejificha KWA mwamvuli wa utumishi)

Mengineyo wajuvi watamalizia
 
Correct me if I'm wrong. Mtu aliyetoka TISS na kuja Tume ya Taifa ya Uchaguzi siyo Ramadhani Kahilima? Nakumbuka ndo alikuja kuwa mkurugenzi wa uchaguzi.
 
Mimi ninachojua aliajiriwa kama informer wa tiss wakati bwawa la mindu pale morogoro linajengwa enzi za Nyerere.

Inasemekana waliopewa tenda ya kuchimba lile bwawa walichimba dhahabu nyingi sana.

Mwalimu Nyerere aliwafukuza wale wa brazil ndani ya masaa the 24 aliyepeleka faili na taarifa yote kwa mwalimu ndio huyo modestus k.
 

Huyu ndiyo kamuharibia Magufuli historia yake. Kiongozi wa utekaji





Dar es Salaam. Several months after he was removed from the position of Director General of Tanzania Intelligence and Security Services (TISS), Modestus Kipilimba was finally sworn in as Tanzania’s ambassador to Namibia at State House, Dar es Salaam today.

He was sworn in by President Magufuli to represent Tanzania at the new embassy in Windhoek, Namibia alongside other ambassadors who were appointed around the same time.

Those who took oaths today include Dr Benson Bana who becomes Tanzania’s ambassador to Nigeria, Rtd Major General Gaudence Milanzi who becomes Tanzania’s ambassador to South Africa.

Prof. Emmanuel David Mwaluko Mbena on the other hand has been appointed as the new ambassador to Zimbabwe.

Present at the swearing in was the minister of foreign Affairs and East African cooperation Prof Palamagamba Kabudi who reminded the new envoys the tasks at hand in representing Tanzania.

He reiterated to the new ambassador to South Africa Rtd Major General Gaudence Milanzi that he should immediately embark on making sure Tanzania is in the fore front championing the teaching Kiswahili in South Africa.

Tanzanian envoy denies President Magufuli in bad health​

By Reuters Staff
3 MIN READ

  • Magufuli out of public view since end of February
  • Opposition leader says he is in a coma with COVID-19
  • Tanzania’s envoy to Namibia says Magufuli working normally
NAIROBI/WINDHOEK, March 12 (Reuters) - Tanzania’s President John Magufuli is in good health and working normally, one of his diplomats has told a broadcaster in Namibia, countering reports he had been flown to hospital in Kenya and then India in a critical condition with COVID-19.
Magufuli, 61, who is Africa’s most prominent coronavirus sceptic, has not been seen in public since Feb. 27.

Tanzanian opposition leader Tundu Lissu has cited medical and security sources for information that the president was flown to the private Nairobi Hospital in neighbouring Kenya and then on to India in a coma.
But the Namibian Broadcasting Corporation quoted Tanzania’s ambassador in Windhoek, Modestus Kipilimba, as saying Magufuli was in good health and remained in Tanzania.
“High Commissioner Kipilimba dismissed the reports, saying Magufuli is in Tanzania going about his normal duties,” NBC said, in what would be the first public comments from a Tanzanian official about Magufuli’s situation since questions were raised.
Kenya’s Nation newspaper cited unidentified political and diplomatic sources earlier this week saying that an African leader, which it did not name, was being treated for COVID-19 on a ventilator at the private Nairobi Hospital.
The hospital has said nothing.

In power since 2015 and nicknamed “The Bulldozer”, Magufuli has played down the threat from COVID-19, saying God and remedies such as steam inhalation would protect Tanzanians.
He has mocked coronavirus tests, denounced vaccines as part of a Western conspiracy to take Africa’s wealth, and opposed mask-wearing and social distancing.
Tanzania stopped reporting coronavirus data in May last year when it said it had 509 cases and 21 deaths, according to the World Health Organization (WHO), which has urged Magufuli’s government to be more transparent and to implement COVID-19 curbs.
Magufuli, a former chemistry professor from the village of Chato in northwest Tanzania, was first elected president in 2015. He has faced accusations from Western countries and opposition parties of eroding democracy, which he denies. (Reporting by Duncan Miriri in Nairobi, Nyasha Nyaungwa in Windhoek; Writing by Andrew Cawthorne; Editing by Alex Richardson)
 

Balozi Modestus Kipilimba ni Sabaya mwingine.​

 
Angekuwa mtumishi mzuri angeng'atuka asimshike shetani mkono
 
Ukishajua yatakusaidia nini ??? Acheni kufuatilia maisha ya watu kwa kiasi hiki.
Kwa taarifa yako yeye ndiye aliyekabidhiwa na Magufuli. jukumu la kumuua Tundu Lisu.

Ushahidi upo na wewe unaweza kuwa unalijua hilo. Sasa ndiyo trailer ineisha movies imeanza. Jiridhishe na link hiyo chini.

 
Mi' ninamfahamu kwa jambo moja kuu...... Nasema kwa sauti ya chini kabisa... ALIONGOZA GENGE LILILOMFYATULIA LISSU MARISASI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…