Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

Bado mkuu wa majeshi naye awe mihayo mahona.
 
Kimwaga hapa anatafuta uteuzi tu.... Ila kuna mambo mawili nikuweke sawa.... 1. Ni uhusiano wa Kitwanga na Kipilimba, ni wa karibu sana sana sana.... Naona hulijui hili

2. Phd alisoma 2003~2006, na sio miaka uliyoweka.... Na baada ya kutoka Bot alienda moja kwa moja Uingereza pasipo kuhamishiwa Arusha kama unavyodai...

Rudi tena kafanye utafiti
 
Hapa weredi tunaweka pembeni na tunaongozwa na siasa, tunaamrishwa na yeyote so long as ni mwanasiasa!! sifa hizo zote umemwaga za bure maana mbele ya siasa tunaziweka pembeni
 

Acha ujinga wewe,unaleta mambo ya zama za mawe, HAMNA kibaya chochote katika maelezo ya Mleta mada,, kwanza yanajitosheleza,,kingine anayemzungumzia ana Cv nzuri na anafaa kwa nafasi aliyopewa na mkuu wa kaya,,,,na pia amekuambia chanzo ni gazeti la RAIA MWEMA
 
Nilitamani nisikie hakuna anayefaham habari zake......
 
Kwenye hizo hakuna Mungu wala nn hapo anafanya kazi ambayo Mungu yupo pemben,tusijidanganye kwenye ucha Mungu kabsaa
 
Learn to see the big picture
 
Je Kitwanga ameshastaafu ushushu ? Jibu ni kuwa mashushu awastaafu so bado ni kachero Kama BM, MM, FS, ENL. etc.
 
Ni wasifu wake kikazi, ila ukiandika tukio lake la kikazi hasa kiusalama ndiyo kosa huyu ni kiongozi km alivyo mkuu wa majeshi au IGP. Sidhani km kuna kosa afu sasa hivi taarifa hazitafutwi kwa uficho bali kwa uchambuzi(analysis) hivyo ata mkimjua hakuna hatari yeyote cha msingi analindwa na vyombo vya usalama.
 
Mwandishi wa makala hii kuna vitu vingi havijui kuhusu teknolojia kwa ujumla.
 
Wewe ndio haujaelewa hapo red, soma vizuri hapa.

Kati ya mwaka 2000 au 2001, Kipilimba ‘alipotea kazini’ katika mazingira ya kutatanisha. Mabosi wake BoT walikuwa wamemhamishia Arusha kikazi kutoka Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi awali.

Ni muda huo ‘aliopotea kazini’ ndio alioutumia kwenda kusoma masomo yake ya uzamivu pamoja na kufundisha katika vyuo vikuu nchini Uingereza.
 
Asante kwa taarifa. Na je alipopolekwa NEC wakati uchaguzi ukikaribia 2015 ilikuwa kwa ajili ya nini na kutoka baada ya uchaguzi?

Wadau naomba kufahamishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…