Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukachero siyo kila unachodhani kitu cha ukachero ndiyo...!
Vingine usivyodhani ndivyo vyenyewe..[emoji41] [emoji41]
Naomba kuuliza: Hivi kuandika personal info za mtu bila written permission siyo kosa?
Kama maofisini kutoa numba ya simu ya mtu bila ruksa yake ni kosa hao waliokupa details zake zidhani kama wamefanya vyema haijalishi mna mahusiano nao kiasi gani, hapo kuna tatizo.
Tatizo kila mtu siku hizi eti anajua mambo ya usalama kisa kuna materials online, kama yamewekwa online inamanisha mambo yamebadilika kuna techniques nyingine. Haujui unawarahisishia kazi wanaotafuta info from "open source"?
Tujifunze kuchuja kabla ya kuandika, watanzania tupunguze kuongea ongea hata tunapotakiwa kukaa kimya. Kama unajua mambo ya usalama naamini unajua kwamba haichukui siku kulocate ulipo na kukupata.
"Learn to use the power of being silent".
Kwenye hizo hakuna Mungu wala nn hapo anafanya kazi ambayo Mungu yupo pemben,tusijidanganye kwenye ucha Mungu kabsaaKipilimba ni Mtu Wa haki kubwa.Mtu anayemuogopa na Kumheshimu sana MUNGU MKUU.nakuombea sana kwa MUNGU MKUU ufanikiwe sana nakumbukumbu ulipita mitaa yetu ukaweka misingi ya haki na nidhamu kubwa sana.mzalendo Wa haki Tanzania ni wewe katika haki ubarikiwe Mzee
Learn to see the big pictureAcha ujinga wewe,unaleta mambo ya zama za mawe, HAMNA kibaya chochote katika maelezo ya Mleta mada,, kwanza yanajitosheleza,,kingine anayemzungumzia ana Cv nzuri na anafaa kwa nafasi aliyopewa na mkuu wa kaya,,,,na pia amekuambia chanzo ni gazeti la RAIA MWEMA
Ni wasifu wake kikazi, ila ukiandika tukio lake la kikazi hasa kiusalama ndiyo kosa huyu ni kiongozi km alivyo mkuu wa majeshi au IGP. Sidhani km kuna kosa afu sasa hivi taarifa hazitafutwi kwa uficho bali kwa uchambuzi(analysis) hivyo ata mkimjua hakuna hatari yeyote cha msingi analindwa na vyombo vya usalama.Naomba kuuliza: Hivi kuandika personal info za mtu bila written permission siyo kosa?
Kama maofisini kutoa numba ya simu ya mtu bila ruksa yake ni kosa hao waliokupa details zake zidhani kama wamefanya vyema haijalishi mna mahusiano nao kiasi gani, hapo kuna tatizo.
Tatizo kila mtu siku hizi eti anajua mambo ya usalama kisa kuna materials online, kama yamewekwa online inamanisha mambo yamebadilika kuna techniques nyingine. Haujui unawarahisishia kazi wanaotafuta info from "open source"?
Tujifunze kuchuja kabla ya kuandika, watanzania tupunguze kuongea ongea hata tunapotakiwa kukaa kimya. Kama unajua mambo ya usalama naamini unajua kwamba haichukui siku kulocate ulipo na kukupata.
"Learn to use the power of being silent".
Wewe ndio haujaelewa hapo red, soma vizuri hapa.Kimwaga hapa anatafuta uteuzi tu.... Ila kuna mambo mawili nikuweke sawa.... 1. Ni uhusiano wa Kitwanga na Kipilimba, ni wa karibu sana sana sana.... Naona hulijui hili
2. Phd alisoma 2003~2006, na sio miaka uliyoweka.... Na baada ya kutoka Bot alienda moja kwa moja Uingereza pasipo kuhamishiwa Arusha kama unavyodai...
Rudi tena kafanye utafiti