Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuimba nyimbo nzuri sana ukiweka corus unampita DiamondMara nyingi bigboss wa usalama sio lazima awe anatokana na wanausalama,wanaomenyeka ni kuanzia madeputy,hao ndo lazima awe anajua na amesomea hasa hiyo kazi,
Director huwa ni uteuzi wa kisiasa zaidi kama sikosei
Sijaona kipya hapo.
Vijana wengi siku hizi ni wanywa viroba, wakishalewa wanaanza kujisifu kuwa wao ni makachero,mwisho wa yote kazi yao inaonekana ya kitapeli zaidi.TISS iweke vijana
You wish!.Yaani as if huyo Kipilimba ana uwezo hata wa kihack email,hana uwezo huo mkuu...
As if ana uwezo mkubwa sana wa kuingia kwenye systems kirahisi rahisi...hakuna lolote.
Utakuta uwezo wake wa IT ni mdogo tu,kufanya hacking ni kipaji,a 10yrz old kid from Vermont or India au anywhere can be a better hacker than him would ever be...
Yaani watu wa usalama,wanavyojisifiaga as if wanaweza kufanya chochote wanadamu wengine hawawezi...
Ni watu wa kawaida sana,na wanastruggle kitalaamu kama wengine tu,system za tehama hawajui ki-level hizo,wanajua kiasi tu na nyingine hua wanafeli tu...
NSA wenyewe hua wanafeli kila leo pia
Tanzania ya sasa inahitaji wakuu wenye hofu ya Mungu.
Dr. Kipilimba anastahili hii nafasi.
Kipilimba ni Mtu Wa haki kubwa.Mtu anayemuogopa na Kumheshimu sana MUNGU MKUU.nakuombea sana kwa MUNGU MKUU ufanikiwe sana nakumbukumbu ulipita mitaa yetu ukaweka misingi ya haki na nidhamu kubwa sana.mzalendo Wa haki Tanzania ni wewe katika haki ubarikiwe Mzee
Kila Zama na kitabu chase, kila Masika na Mbu wake!
Othman Rashid Mkurugenzi Mstaafu alifanana sana na Dr. Kikwete kwa umjini mjini na Mambo ya ujana ujana na ndio sababu walivushana salama October 25, 2015 Ngoja tuone hii chemistry ya Dr Magu na Dr Kipilimba
Kwa sababu gani?Bado mkuu wa majeshi naye awe mihayo mahona.
badala ya kumshukuru kupata inside info wewe ndio kwanza unaponda!.Sijaelewa Lengo la Kamwaga kuandika kwa kirefu hivi bola kuonyesha mapungufu hata kidogo..... Waandish wa Tanzania hapo ndipo wanapoitwa "waandish njaa"
Anyway, tusubiri tuone utendaji kazi wa kisasa na kizalendo kwa manufaa ya nchi bila kumuonea mtu.
Ndugu yangu kwa comment yako basi taarifa za watu wote wenye nafasi ktk ngazi zao kitaifa,wasanii maarufu,wafanyabiashara wakubwa,wanamichezo maarufu,viongozi maarufu zisingejulikana kamwe.Naomba kuuliza: Hivi kuandika personal info za mtu bila written permission siyo kosa?
Kama maofisini kutoa numba ya simu ya mtu bila ruksa yake ni kosa hao waliokupa details zake zidhani kama wamefanya vyema haijalishi mna mahusiano nao kiasi gani, hapo kuna tatizo.
Tatizo kila mtu siku hizi eti anajua mambo ya usalama kisa kuna materials online, kama yamewekwa online inamanisha mambo yamebadilika kuna techniques nyingine. Haujui unawarahisishia kazi wanaotafuta info from "open source"?
Tujifunze kuchuja kabla ya kuandika, watanzania tupunguze kuongea ongea hata tunapotakiwa kukaa kimya. Kama unajua mambo ya usalama naamini unajua kwamba haichukui siku kulocate ulipo na kukupata.
"Learn to use the power of being silent".
Punguza hisia potofu hizo,Dr Kipilimba ni mtu wa Morogoro na sio kanda ya ziwa kama hilo jina ulilolitaja hapo juu.Bado mkuu wa majeshi naye awe mihayo mahona.
Umekua Petro ati kipenzi!!Simjui mtu huyo