Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

''...Hili linaelezwa na sifa yake nyingine ya pekee –kwamba yeye pia ni mcha Mungu...''

Wimbi la kumhusisha Mungu katika kila kinachofanyika katika serikali hii.
 
TISS iweke vijana wataalamu na wenye ujuzi wa mawasiliano ili tufike mbali
 
Mara nyingi bigboss wa usalama sio lazima awe anatokana na wanausalama,wanaomenyeka ni kuanzia madeputy,hao ndo lazima awe anajua na amesomea hasa hiyo kazi,
Director huwa ni uteuzi wa kisiasa zaidi kama sikosei
Endelea kuimba nyimbo nzuri sana ukiweka corus unampita Diamond
 
Tatizo kubwa tunaandika kwaajili ya kutegemea kitu binafsi, hatuandiki kwaajili ya kitu kwa taifa...

Makala hii dhahania yake inafanana na sakata la Prof Lipumba na CUF
 
Uadilifu unatoka wapi wakati anatuhuma za kufanya uharamia kwenye ofisi yake bot na kufukuzwa kazi? Pia inaonesha ni namna gani alivyorudi kazini kwa upendeleo.
Pia anatuhuma za kuhujumu uchaguz 2015
 
TISS iweke vijana
Vijana wengi siku hizi ni wanywa viroba, wakishalewa wanaanza kujisifu kuwa wao ni makachero,mwisho wa yote kazi yao inaonekana ya kitapeli zaidi.
 
You wish!.
 
Tunajua mnasifia kwa sababu aliyeteuliwa ni mchungaji, angeteuliwa Sheikh mngehara humu kila aina ya uharo. Historia ya JF inaonesha kila ilipotokea kuteuliwa mtu ambaye sio wenu mmekuwa mkitukana humu kila aina ya matusi. dhambi hii ya ubaguzi kamwe haitawaacha hivi hivi.
Waislam wameonesha uvumilivu na ukomavu wa hali ya juu pamoja na kuwa teuzi za mkuu wa kaya karibia zote anateua upande wake. lakini sioni waislam wakiandika kama mlivyokuwa mkifanya mafatani.

Tanzania ya sasa inahitaji wakuu wenye hofu ya Mungu.

Dr. Kipilimba anastahili hii nafasi.
 
Nilivyosoma kichwa cha habari, nilitegemea kukuta sifa za ziada kumbe ni yale yale tu kama cv ya dr slaa
 
badala ya kumshukuru kupata inside info wewe ndio kwanza unaponda!.
Ezekiel Kamwaga did his homework na amemtendea haki Dr.Kapilimba, amemtendea haki gazeti lake, ametutendea haki Watanzania na mleta uzi ametutendea haki wana JF!.

Big Up! .
Pasco
 
Ndugu yangu kwa comment yako basi taarifa za watu wote wenye nafasi ktk ngazi zao kitaifa,wasanii maarufu,wafanyabiashara wakubwa,wanamichezo maarufu,viongozi maarufu zisingejulikana kamwe.

Alichokifanya mwandishi ni uandishi wa kiuchunguzi kutokana na kazi yako uliyoteuliwa ili jamii iondokane na maneno yaliyoanza kuzagaa ovyo kuwa huyu katokea wapi tena kupata nafasi kama hii.
Na hiyo sasa ndo kazi ya mwandishi makini ktk kutafuta taarifa sahihi na kuihabarisha jamii na kuielimisha pia.
 
Bado mkuu wa majeshi naye awe mihayo mahona.
Punguza hisia potofu hizo,Dr Kipilimba ni mtu wa Morogoro na sio kanda ya ziwa kama hilo jina ulilolitaja hapo juu.

Haya maneno maneno ya ukabila yanatoka wapi watanzania,hebu tuchunge ulimi wetu jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…