Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

Umeniogopesha mkuu maana hawa watu niko nao karibu sana lakini upande wa kidini tu, haya mengine sikuwahi kuayafikiria kwao!
Usijari nami nipo karibu nao maana ni dhehebu moja nami so siwezi kuwa mbali nao kwa kigezo cha kuwa waamini wenzangu(Wakristo). Kimsingi hawana muda na kajitu kamoja, always deal with super entity hasa serikali za Duniani when jeopardise church's interests.
 
"Jesuit have formed the greatest intelligence service in the World, always have"
Said Former CIA acting station Chief in Mexico., E.Howard Hunt. (2014).
Jamaa alienda zaidi na kusema CIA hawawezi hats kuthubutu kujilinganisha na Jesuit kwa intelligence.
Mulama
 
Pasco hata kwenye zama hizi za digital mpaka muwezeshwe?
 
Intelligence ya Jesuits inafanyikaje? Umetolea mfano hata Dr. Slaa fafanua hapo ndugu sijaelewa.
 
Tunashukuru sana na upo sahihi,Sasa huyu Dr Kipi tumuombee kwa Mungu afanye kazi yake kwa weledi.

Pia sisi watanzania tuwe kama Israel,kila mtu awe TISS wa kujitegemea.
Ukiona adui ripoti polisi,kwa mjumbe,balozi nyumba kumie etc
Hivi Balozi nyumba kumi ni kiongozi anayetambulika?
 
Asante kwa taarifa. Na je alipopolekwa NEC wakati uchaguzi ukikaribia 2015 ilikuwa kwa ajili ya nini na kutoka baada ya uchaguzi?

Wadau naomba kufahamishwa.

Uadilifu unatoka wapi wakati anatuhuma za kufanya uharamia kwenye ofisi yake bot na kufukuzwa kazi? Pia inaonesha ni namna gani alivyorudi kazini kwa upendeleo.
Pia anatuhuma za kuhujumu uchaguz 2015

Kwa hili, na nafasi aliyopewa sasa, mmh!
 
Pasco hata kwenye zama hizi za digital mpaka muwezeshwe?
Mkuu Plato, zama za digitali ni kwenye news dissemination only na distribution kwa online lakini kwenye news search bado ni analogue na manually, uwezeshaji uko pale pale! . Mbele ya safari tutafika stages press conferences zinaendeshwa kwa video conference na kuwa shared kupitia live streaming hivyo kila neesroom wanamonitor kwenye PC zao, na maswali yataulizwa kwa Skype ila kwa sasa huko bado hatujafika! . Survival ya magazeti yote bado ni matangazo na sio circulation, na Mtangazaji Mkuu ni serikali! .

Pasco
 
RESPECT
 
Mtu aliyesoma computer ya miaka ya 70 aje kufanya mapinduzi kwenye technology ya miaka hii hapana"
Sema ataleta changamoto 2 ila swala la technology mpya wataajiri vijana ambao wanaufahamu mzr wa new technology system
 
Mtu aliyesoma computer ya miaka ya 70 aje kufanya mapinduzi kwenye technology ya miaka hii hapana"
Sema ataleta changamoto 2 ila swala la technology mpya wataajiri vijana ambao wanaufahamu mzr wa new technology system

True ,true,true
 
kweli mkuu tangu tangu kitengo kilipoacha kufanya vetting kabla ya kuajiri, Sikh hizi wamebaki kungoa meno na kucha au wanashinda Facebook ku kufuatila nani atamkashifu mtukufu, ajira Sik hizi ni kindugu, huku mtaani kuna vichwa viko vizuri kuliko walioko huko
 
Splendid!

Kanisani kwake hawaamini hata leo hii!!

ila ulinzi umeongezeka na sura ngeni zimeongezeka

wanamtukuza Mungu, maana huyu bwana kapilimba, hakuwahi kudhaniwa, kuhisiwa, na ni zao halisi la wale wana usalama ambao 'walikuwa wana usalama' kweli ENZI HIZO

sio hawa leo wanatoa vitambulisho na bastola kwenye vikao vya pombe na kutisha watu ' unajua mimi ni usalama wa taifa'??? SO WHAT
 
Ungemalizia tu kwamba sasa wamejikita zaidi kuilinda CCM. Huwa najiuliza, is it a coincidence kwamba watu wakishatoka kwenye hiyo idara utawakuta CCM mfano akina Membe, Mahiga et al. Who are they serving?

Halafu hii taasisi ni ya watanzania wote. Ila katika upatikanaji wa kazi huko kuna watu wa maeneo fulani ni mwiko kuingizwa huko (sijui labda ni coincidence ama la). Anyway, ngoja niishie hapa maana nazipenda kucha zangu na meno ebooooo 😱😱😱😱
 
Kwenye hizo hakuna Mungu wala nn hapo anafanya kazi ambayo Mungu yupo pemben,tusijidanganye kwenye ucha Mungu kabsaa

Na Mungu tu ndio anayejua mcha Mungu wa kweli na sio binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…