Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Gwajima inabidi awe na busara kwenye kujibu mashambulizi.Mollel kamprovoke kidogo anajua kabisa kuwa Gwajima atatoa povu balaa.Gwajima anasogezwa kwenye kilengeo Bila kujuaDr. Mollel mpaka hapo, tunaweza kusema kachokoza nyuki wakati wa mchana wa jua kali bila kuwa na kinga ya kujizuia wasimuume...
Amefikia mpaka hatua katika kauli zake kumwita Mch. Gwajima "mjinga pamoja na wajinga wenzie wengine". Hapa maana yake, katukana jamii yote ya Ufufuo na Uzima...
Sina shaka kuwa, ni kesho tu atapata majibu yake na waliomtuma toka kwa Mch. Gwajima maana alishasema, yeye huwa ukimbipu, basi anakupigia hapohapo bila kuchelewa...!!
Stay tuned...