Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #261
Huyo ni kati ya wabunge walio zawadiwa hicho cheo kama mshahara wa kuunga mkono juhudiIlifikaje Kenya na Uganda ikashindwa kufika kwetu. Yeye kama mtaalamu wa afya aliishauri nini serikali kupambana na covid wakati nchi zote duniani zinachanja na kufata taratibu za kitaalam kupambana na covid.
Ukisikiliza mahojiano ya mollel aliyofanya na vyombo vya habari alikua ni ant- chanjo na alikua anaogopa kutamka neno corona hadharani alikua anaita matatizo ya kupumua.