#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

Ilifikaje Kenya na Uganda ikashindwa kufika kwetu. Yeye kama mtaalamu wa afya aliishauri nini serikali kupambana na covid wakati nchi zote duniani zinachanja na kufata taratibu za kitaalam kupambana na covid.
Ukisikiliza mahojiano ya mollel aliyofanya na vyombo vya habari alikua ni ant- chanjo na alikua anaogopa kutamka neno corona hadharani alikua anaita matatizo ya kupumua.
Huyo ni kati ya wabunge walio zawadiwa hicho cheo kama mshahara wa kuunga mkono juhudi
 
So what kwa kuwa wamechanja tena kwa vitisho ni salama?Zingekuwa ni salama watu wangeandamana kuzipinga na vyama vya madaktari na wanasheria dunia nzima vinge cry fawl.Mkuu unajua sasa kwamba chanjo hizo nchi nyingi zinaunganishwa na upatikanaji wa huduma na hata kazi?Mkuu hivi akili ya kawaida tu haikuambii kwamba huna haja ya kulazimisha watu kitu kizuri?Jiongeze mkuu.
Hakuna aliyekulazimisha kuchanja wewe subiri ukatike tukakutupe kwenye 6×6
 
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha Watanzania.

Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.

Na nyie mtuthibitishie kuwa izo chanjo ni salama.... Na zimefanyiwa reseach yakutosha na nyie wenyewe wizara ya afya au mnataka kutubeba ufala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo lilipo tatizo. Hili sasa ndiyo tatizo la kuchanganya dini na siasa kwa maana yake haswa, siyo kama serikali ilivyokuwa inasingizia wakati viongozi wa dini walipokuwa wanaikosoa. Dawa ya hili ni ndogo sana. Viongozi wa dini walio-active kwenye dini zao i..e ambao ni viongozi kwenye madhehebu yao wasiruhusiwe kugombea nyadhifa za kisiasa au kama watagombea basi wajiuzulu uongozi wa dini. Hili kama lingekuwa sheria Gwajima alitakiwa ajiuzu ''uchungaji'' wake na awe muumini wa kawaida.
Na wanasiasa na biashara je?
 
Ni hiari ya mtu
Acha ujinga wewe, huyu ni mtu aliyeko ughaibuni na anakiri kwamba watu wanakufa kwa chanjo,who are to deny it,ninyi mmelogwa?




👇👇👇👇👇👇
Bavariagal
Member
Today at 5:34 AM
Add bookmark
#610
mwengeso said:
Nimemsikia Prof Janabi (dkt bingwa wa magonjwa ya moyo, Muhimbili) akisema kwamba wanaombukizwa UVIKO-19 wengi huganda damu kuliko waliochanjwa. Kwa maana hiyo uwezekano wa kuganda damu kwa chanjo ni mdogo sana

Uongo !Nilipo mimi wanaokufa kwa Chanjo ni Wenye Umri mdogo na matatizo makubwa yanayowasibu ni ya Damu Stroke, Myokarditis, Thrombozytopenie,Hamophilie na mengine mengi tu ! Niseme Kuweni makini na Chanjo . Nipo Jikoni vifoo vipo vya chanjo na vina tisha Zaidi , Vinafichwa zaidi
Love Love Quote Reply Select for moderation Report
Love Reactions: You
 
Haya ni matamshi ya IGP Sirro kuhusu kukamatwa kwa Askofu Gwajima.Nimependa msimamo wake,after all hili sio swala la jinai.I like the way he has down played it.His voice shows that clearly.
Hata hivyo I expected this kwa kuwa aliwa tetea askari wasiwe Guinea Pigs


 
kuna tatizo mahali.......wacha nkajipige MSUBA,,,, TUJIKINGE WANDUGU,,,,,, kila mtu na wakwao....hili DUBWANA CORONA.... ni hatari usiombee...jifukize....wewe na wakwako.....maisha matamu MNO....
 
Back
Top Bottom