Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
So what kwa kuwa wamechanja tena kwa vitisho ni salama?Zingekuwa ni salama watu wangeandamana kuzipinga na vyama vya madaktari na wanasheria dunia nzima vinge cry fawl.Mkuu unajua sasa kwamba chanjo hizo nchi nyingi zinaunganishwa na upatikanaji wa huduma na hata kazi?Mkuu hivi akili ya kawaida tu haikuambii kwamba huna haja ya kulazimisha watu kitu kizuri?Jiongeze mkuu.Watu msijidai mna akili sana, hebi cheki duniani watu walivyochanja.
Tanzania record ni very low kutokana na ujinga!
![]()
covid vaccinations record - Bing
Mit der intelligenten Bing-Suche können Sie die gewünschten Informationen schneller und einfacher finden und dabei Punkte sammeln.www.bing.com