#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

Watu msijidai mna akili sana, hebi cheki duniani watu walivyochanja.
Tanzania record ni very low kutokana na ujinga!
So what kwa kuwa wamechanja tena kwa vitisho ni salama?Zingekuwa ni salama watu wangeandamana kuzipinga na vyama vya madaktari na wanasheria dunia nzima vinge cry fawl.Mkuu unajua sasa kwamba chanjo hizo nchi nyingi zinaunganishwa na upatikanaji wa huduma na hata kazi?Mkuu hivi akili ya kawaida tu haikuambii kwamba huna haja ya kulazimisha watu kitu kizuri?Jiongeze mkuu.
 
Mollel anaongelea sayansi ipi aliyoifanyia utafiti? Gwajima atawachapa tu. Afterall, yeye huwa anaongea na waumini wake akiwaomba watumie ""hiari" ile ile ya kukataa chanjo
Bahati mbaya anayetoa matamko ndiye atatakiwa athibitishe. Gwajima ndio atalazimika kuthibitisha, na si Mollel
 
Mollel ametoa mawazo yake,sio msimamo wa serikali.Pia naamini hawatafanya kosa la kumuita Gwajima,kwa kuwa serikali kwa kukubali wananchi wachanjwe hii chanjo, imekiuka protocols nyingi za kitaaluma na kimataifa.Mbaya zaidi hawajui hata contents za hizo chanjo.Furthermore Protocols zote za C-19 is bad science,na ushahidi wa kitaaluma upo.
 
Bahati mbaya anayetoa matamko ndiye atatakiwa athibitishe. Gwajima ndio atalazimika kuthibitisha, na si Mollel
Kama matamko katayolea kanisanin kwake mbele ya Waumini wake na kudai labda "alikuwa anaongozwa na roho mtakatifu" itakuwaje sasa?

Wanaomshtaki watapaswa kwanza kusema wanamshtaki kwa kosa lipi na matamko yake "ya kiroho" yanakiuka sheria/kanuni ipi
 
Ni dhahiri hujamsikia kabisa. Tangu lini DNA na RNA zikawa ni matamko ya kiroho?
 
Mkuu Gwajima ni Mbunge,kwa hiyo ana haki ya kuikosoa serikali.Hii ni sehemu ya kazi yake kama Mbunge.Na Gwajima kama mwanamchi pia ana haki ya kutoa mawazo yake,hasa pale anapo ona kwamba nchi na wananchi wake wako hatarini.Mwish,o kwa kuwa chanjo ni hiari,amewashauri wananchi na waumini wake kwa ujumla jinsi ya kutumia uhiari huo na kwa nini.

Taaharuki tunayoiona sasa kutoka kwa viongozi wa Chama na Serikali kwa ushauri anaotoa Gwajima kwa wananchi inaonyesha kwamba serikali na chama visingependa wananchi wajue ubaya wa hizo chanjo, kwa hiyo wajiingize kichwa kichwa kwenye chanjo ambayo kwanza ni ya majaribio,kinyume
na Nuremberg Code.
 
Ni dhahiri hujamsikia kabisa. Tangu lini DNA na RNA zikawa ni matamko ya kiroho?
Tunataka kutoka serikalini scientific facts,so far tunacho ona ni udaku tu,shame on them.Hivi serikali haina scientists,why are we not hearing sound scientific arguements from them.No our scientists you can do better,this is too mediocre.
 
Walishawahi kumtaka awathibitishie kisayansi jinsi anavyofufua misukule?
 
Tayari kesha dakwa
Wamdake kwa lipi,serikali imefanya makosa mengi ya kisayansi,kisheria za nchi na kimataifa kiasi kwamba hawata thubutu kumkamata.Kwanza anayofanya Ani haki yake ya kimsingi na kikatiba kama Mbunge na mwananchi.Serikali inachoweza kufanya ni kupinga hoja za Gwajima kwa hoja mbadala zenye nguvu,ambazo tunajua hawana.They are fifgting from an extremely weak position.
 
Kwani hujui wakati huo chanjo haikuwepo Tanza

Kwani hujui wakati huo chanjo haikuwepo Tanzania?
Ilifikaje Kenya na Uganda ikashindwa kufika kwetu. Yeye kama mtaalamu wa afya aliishauri nini serikali kupambana na covid wakati nchi zote duniani zinachanja na kufata taratibu za kitaalam kupambana na covid.
Ukisikiliza mahojiano ya mollel aliyofanya na vyombo vya habari alikua ni ant- chanjo na alikua anaogopa kutamka neno corona hadharani alikua anaita matatizo ya kupumua.
 
Wamdake kwa lipi,serikali imefanya makosa mengi ya kisayansi,kisheria za nchi na kimataifa kiasi kwamba hawata thubutu kumkamata.Kwanza anayofanya Ani haki yake ya kimsingi na kikatiba kama Mbunge na mwananchi.Serikali inachoweza kufanya ni kupinga hoja za Gwajima kwa hoja mbadala zenye nguvu,ambazo tunajua hawana.They are fifgting from an extremely weak position.
Keshakamatwa tayari yupo hapa oysterbay
 
Ilifikaje Kenya na Uganda ikashindwa kufika kwetu. Yeye kama mtaalamu wa afya aliishauri nini serikali kupambana na covid wakati nchi zote duniani zinachanja na kufata taratibu za kitaalam kupambana na covid.
Ukisikiliza mahojiano ya mollel aliyofanya na vyombo vya habari alikua ni ant- chanjo na alikua anaogopa kutamka neno corona hadharani alikua anaita matatizo ya kupumua.
Alikuwa anapamabania tumbo lake
 
Back
Top Bottom