Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Gwajima inabidi awe na busara kwenye kujibu mashambulizi.Mollel kamprovoke kidogo anajua kabisa kuwa Gwajima atatoa povu balaa.Gwajima anasogezwa kwenye kilengeo Bila kujuaDr. Mollel mpaka hapo, tunaweza kusema kachokoza nyuki wakati wa mchana wa jua kali bila kuwa na kinga ya kujizuia wasimuume...
Amefikia mpaka hatua katika kauli zake kumwita Mch. Gwajima "mjinga pamoja na wajinga wenzie wengine". Hapa maana yake, katukana jamii yote ya Ufufuo na Uzima...
Sina shaka kuwa, ni kesho tu atapata majibu yake na waliomtuma toka kwa Mch. Gwajima maana alishasema, yeye huwa ukimbipu, basi anakupigia hapohapo bila kuchelewa...!!
Stay tuned...
Kwamba zile chanjo zina chip?
Hawatampata bali yeye (Mch. Gwajima) ndiye kawapata na wameingia kwenye kilengeo chake...Gwajima inabidi awe na busara kwenye kujibu mashambulizi.Mollel kamprovoke kidogo anajua kabisa kuwa Gwajima atatoa povu balaa.Gwajima anasogezwa kwenye kilengeo Bila kujua
Muwe mnaangalia picha za kuweka jamani.Kha! Mbona mimi nimeweka picha yangu safi tu hapo kwa profile?Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha Watanzania.
Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.
View attachment 1894702
Watu wa aina ta Mollel wapo wengi sana serikalini ambao wamekubali kula matapishi yao kisa matumbo yaoHi
Hivi huyo Mollel ndiyo nani?? Hivi mtu anayebadilisha kauli kulingana na mwelekeo wa awamu husika he is a serous liability to our country!! Anapaswa ajiuzulu kwa sababu hawezi kuyasimamia yale aliyokuwa anayapinga hadharani!! na sasa anajifanya anayaunga mkono!! Yeye na boss wake ni wasanii wa kufa mtu!
Waweke bayana contents za Chanjo zote,ubaya wa social distancing,lockdowns na masking kitaalamu,hatutaki longo longo.Tayari wana sayansi wamesha weka bayana kila kitu kwa hiyo hawana pa kujificha.Hata athari za hizo chanjo wanasayansi independent wameshaziweka bayana,there is nothing to hide any more.Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha Watanzania.
Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.
View attachment 1894702
Serikali nayo ilete scientific data kwamba hiyo chanjo ni salama.Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha Watanzania.
Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.
View attachment 1894702
Obviously kuna kitu hakipo sawa.Ni kama watu wanakuwa discouraged kupima hivi.Mollel anaongelea sayansi ipi aliyoifanyia utafiti? Gwajima atawachapa tu. Afterall, yeye huwa anaongea na waumini wake akiwaomba watumie ""hiari" ile ile ya kukataa chanjo
Sasa hivi ukitaka kupima COVID-19, lazima utoe angalau TZS. 230,000/= ila ukitaka Chanjo, unapewa free kabisa, tena kwa kubembelezwa
Watu msijidai mna akili sana, hebi cheki duniani watu walivyochanja.Serikali nayo ilete scientific data kwamba hiyo chanjo ni salama.
1.Itupe contents za hizo chanjo.
2 .Ituambie muda ambao hizo chanjo zimefanyiwa majaribio,na kama kweli zinafaa kutumiwa na wanadamu.
3.Watuambie kama kweli ni sahihi ku-subject Watanzania wote kwenye chanjo ya majaribio.
4.Watuambie kama athari za muda mrefu za hizo chanjo zinafahamika.
5.Watupe taarifa za independent verifiers zinazo onyesha kwamba hizo chanjo kweli zinafaa kwa matumizi ya wanaadamu.
6.Watupe ushahidi wa kuonyesha kwamba Nuremberg Code imezingatiwa.
Kwani hujui wakati huo chanjo haikuwepo Tanzania?Ni mollel huyuhuyu aliyekua anapigia chapuo nyungu na bupiji
Rashid Gwajima ni mkubwa hapa nchini kumzidi hata Samia Suluhu Hassan ndio maana hata akiropoka hakuna anayemsumbua.