#COVID19 Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

Huyo ni kati ya wabunge walio zawadiwa hicho cheo kama mshahara wa kuunga mkono juhudi
 
Hakuna aliyekulazimisha kuchanja wewe subiri ukatike tukakutupe kwenye 6Γ—6
 
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa mchungaji Gwajima sasa kapitiliza kwa kuwapotosha Watanzania.

Kwa ufupi pitia kwenye bandiko lake hapa chini ili kujionea alicho ongea.

Na nyie mtuthibitishie kuwa izo chanjo ni salama.... Na zimefanyiwa reseach yakutosha na nyie wenyewe wizara ya afya au mnataka kutubeba ufala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wanasiasa na biashara je?
 
Ni hiari ya mtu
Acha ujinga wewe, huyu ni mtu aliyeko ughaibuni na anakiri kwamba watu wanakufa kwa chanjo,who are to deny it,ninyi mmelogwa?




πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Bavariagal
Member
Today at 5:34 AM
Add bookmark
#610
mwengeso said:
Nimemsikia Prof Janabi (dkt bingwa wa magonjwa ya moyo, Muhimbili) akisema kwamba wanaombukizwa UVIKO-19 wengi huganda damu kuliko waliochanjwa. Kwa maana hiyo uwezekano wa kuganda damu kwa chanjo ni mdogo sana

Uongo !Nilipo mimi wanaokufa kwa Chanjo ni Wenye Umri mdogo na matatizo makubwa yanayowasibu ni ya Damu Stroke, Myokarditis, Thrombozytopenie,Hamophilie na mengine mengi tu ! Niseme Kuweni makini na Chanjo . Nipo Jikoni vifoo vipo vya chanjo na vina tisha Zaidi , Vinafichwa zaidi
Love Love Quote Reply Select for moderation Report
Love Reactions: You
 
Haya ni matamshi ya IGP Sirro kuhusu kukamatwa kwa Askofu Gwajima.Nimependa msimamo wake,after all hili sio swala la jinai.I like the way he has down played it.His voice shows that clearly.
Hata hivyo I expected this kwa kuwa aliwa tetea askari wasiwe Guinea Pigs


 
kuna tatizo mahali.......wacha nkajipige MSUBA,,,, TUJIKINGE WANDUGU,,,,,, kila mtu na wakwao....hili DUBWANA CORONA.... ni hatari usiombee...jifukize....wewe na wakwako.....maisha matamu MNO....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…