gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Kuamini ujinga huu labda uwe taahira tuBasi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Mollel si mchagga brother. Ni masai....Wachagga Wezi aisee mtu anaiba hadi sampuli za mgonjwa!
Mungu atamlaani
hahahahahahahahahahsampuli na ruzuku wapi na wapi! hilo para inatakiwa mtu unatema mate kwenye kiganja na kumbamiza kwenye huo upara labda akili zitamjia
hahahahahahahahhahahaNtajitahidi kufunika pembe la ng'ombe Lakin hafichiki
Mbona mnaruka ruka tulieni mliyataka wenyewe
Anawaanika Kwel Kwel hadi naona aibu mimi huku Germany had tunaona aibu kutoka street
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Mkuu huna hata haja ya kuwafafanulia hao wafa maji wa lumumba, wanakera kupitiliza.He is retarded. CHADEMA ndio walioondoa walinzi na kamera? Si awape huo ushahidi wanaohangaika kujisafisha? Kweli kuwa ccm ni lazima uache kufikiri kabla hujaongea au kutenda.
Brain damage :Brain Damage: Symptoms, Causes, TreatmentsBasi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
polisi wanasubiri nini tena, kumbe chanzo kinafahamika, waanze na huyu, sasa swali 1, wale askari wanaolinda siku zote pale kwenye yale makazi walitolewa na chadema? na zile cctv camera nazo zilitolewa na chadema, manake hii ya askari na cctv camera wala haziwekewi kipaumbele, wao wanamtaka dereva aje na lissu ndio waanze kuwahoji, inanikumbusha kagurumjuli aliyesababisha mauaji ya Akwilina, wala hazungumzwi, wao ni akina Mbowe na matiko wakati kagurumjuli ndio mzizi wa yote haya, angetoa vibali kwa mawakala Akwilina angekuwa hai, lakini wala sisikii kabisa akitajwa huyu baba, na ndio askari wa dodoma na zile camera, wala hawataki kuzitaja, swali kwa Molel na kama chadema ni mpango wao na kwanini waombe scotland yard waje, kama ni malipo wangelipa hao hao chadema ila walitaka kibali tu cha kuwaruhusu kuingia tuwaone waliomshambulia Lissu, mkakataa, mngeweza kukubali yote hayo, wala kusingekuwa na malumbano mpaka leoBasi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Nimemuliza, je walipanga kumuua au kumjeruhi? Kasema walishandaa hospitali kabisa! Je, kama lengo lilikuwa ni kumuua, hospitali iliandaliwa ya nini? Yaani unataka kuua halaf unaandaa na hospitali! Jamaa hana uwezo wa kufikiri.Husiolijua ni kama usiku wa giza. Kwani hufahamu moja ya walipchangia kumsafirisha Lisu kutoka Dodoma ni Mbunge wa CCM? Je naye alihusika katika maandalizi yake?
Unapotoa hoja jaribu kutumia sehemu ndogo sana ya ubongo kufikiri kabla ya kutoa. Kuna matukio mengi sana yalifuatana baada ya jaribio ya kuuwawa kwake kushindikana ambapo ukifikiri sana hupatimajibu yaliyokuwa wazi, mojawapo la tukio ambalo ni la mwishomwisho kabisa ni la Mheshimiwa Spika kutokujua kama bado TAL yupo matibabuni
Ccm ni chama cha wasema kweli,ndio maana ukija hata kama ulikuwa chizi, unapona.Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbavu zanguBasi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Kila aliyetaka kugombea uwenyekiti Chadema alipata madhara flani
Uso wa Godwin Mollel utafikiri ni mganga wa kienyeji?Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Hapo huwa hawajibu!waatuwekee records za cctv camera tuone