Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Du, umeandika kwa hisia kweli kweli. Ongeza na waliomfuta ubunge wametumia nini kufikia maamuzi haya
 
Upumbavu wa kurithi utaujua tuu, kuiondoa ni ngumu kama nguo iliyo ingia grisi
 
Hivi issue nyeti kama hii ambayo inalichafu taifa unahitaji CDM wabishe ndiyo atoe ushahidi! Hawa wabunge wasipimwe kilevi pekee bungeni wapimwe na akili!
 
Hivi issue nyeti kama hii ambayo inalichafu taifa unahitaji CDM wabishe ndiyo atoe ushahidi! Hawa wabunge wasipimwe kilevi pekee bungeni wapimwe na akili!
Sio hayo tuu, Bali wapimwe mpaka marinda usijekuta wametatuliwa. Shen%#zy taipu
 
Kwa mwendo huu mh kiuwarisia wana ccm mjiandae kisaikorojia kwa sababu anacho ongea huyu mbunge na yule balozi dk slaa Achana na hao wengine nisiowajua majina kuna kitu kinawatesa kwenye vichwa vyao kinawakosesha Amani wana wasiwasi sana wakirisikia jina la Lissu tu
 
Kiazi moleli mmasai pekee so riziki duniani! Tell us who reported this nasty incidence and what has been the resolution through the official instruments of law? Did you report anything you bastard nicompoop?
 

Ni kwa nini CHADEMA waling'oa kamera za CCTV??
 
Yes and CHADEMA removed all the security officers (both private and public) from the heavily guarded premises !!! Can any creature bearing a skull trust this idiot? You can not waive away the responsibility of Presidential Security Unity involvement so sorry!!
 
Mollel ni malaya tu na ana bei kama wale wadada wa Corner Bar pale Afrika Sana
 
Polisi waanze uchunguzi wao na huyu Mollel. Kazi kwako IGP Siro!
 
Dr Mollel unalea wahalifu na uhalifu hadi wahalifu wabishe kuwa hawahusiki ndipo upeleke ushahidi?Kwa nini usifungue shauri mahakamani sasa?Una uzoefu wa mipango ya kujishambulia kwa risasi holela kama alizomiminiwa Mh.Lissu?
Tunataka ushahidi huo upeleke kunakohusika ili tujiridhishe na kufumbua kitendawili cha wasiojulikana,vinginevyo watatumaliza.Wanasheria mliopo humu mtusaidie kumdai Dr Mollel ushahidi unaodai kuwa anao dhidi ya waliomshambulia Mh Lissu.
 
Siri nzima wanazo Chadema. Huku vinalialia kama vitoto vilivyokosa lawalawa hatari sana DJ Mbowe anawakamua wenzake hii sio haki.
 
Huyu ni Dk wa nini? Mbona uwezo wake wa kutambua ni finyu sana. Hivi huko bungeni mtu huyu anatoa upuuzi huu na anapewa the costly airtime ya bunge kwa gharama ya walipakodi? Sisi wananchi bila kujali nani alihusika na jaribio la kumuua Lisu tunataka apatikane akabili mashitaka. Kama serikali yenye mandate ya kuchunguza na kukamata imekaa kimya basi lawama zinaiangukia sawia.
Bunge liache kutoa muda kwa watu waliochoka kama hawa-wanatugharimu walipa kodi for nothing. Kwa kweli inaudhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…