Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize huyuChadema ni wahuni sasa Kwanini walitaka kuua ?
'Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga'Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
Chanzo: Mpekuzi
========
Mbunge Dkt. Mollel akiwa Bungeni amesema fedha zinazopatikana kwenye rasilimali ambazo si endelevu(Mf. Madini) zinapaswa kuwekezwa kwenye maeneo ambayo yataendelea kulipa taifa pato hata zikiisha.
Nayo ni
1. Rasilimali watu
2. Miundombinu
3. Ugunduzi na Teknolojia
Pia ameeleza kuwa wakati sisi tunawekeza huko, kuna baadhi ya nchi ambazo rasilimali zao zimekwisha hivyo wanatafuta maeneo katika nchi zetu ili waweze kuwekeza kwenye rasilimali zetu na kuzipa nchi zao nguvu.
Katika kutoa mfano wa hilo, Dkt. Mollel anadai kuwa akiwa CHADEMA chini ya Mbunge Selasini, walikuwa wakipanga mikakati ya kuzuia Serikali isiwekeze maeneo hayo.
Katika mkakati huo ikaonekana kuwa Tundu Lissu anajipatia umaarufu binafsi hivyo wakampiga risasi na kumuumiza.
Anasema mkakati huo ndio unaendelea hadi sasa Ulaya ukifadhiliwa na watu wachafu wenye nia ya kuiba rasilimali za Watanzania. Anasema suala la Lissu liko wazi sababu hata Chacha Wangwe alipotaka Uenyekiti nini kilimpata?
Mabomu ya Arusha
Akizidi kukandamizia point yake, Mollel amesema alikuwa Daktari mwakilishi wa CHADEMA kipindi cha Mabomu ya Arusha na alipotoka kwenye chumba cha uchunguzi(post mortem) aliwaeleza viongozi wake kuwa ameiba vitu kadhaa toka kwenye chumba hicho hivyo wavipeleke Afrika ya Kusini kwa ajili ya uchunguzi lakini walikataa licha ya kuwa na Ruzuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna taarifa hata ukiikuta mahali haupaswi kunakili, unaipuuza ili kujisitiri.Kwani wewe akili zako unazitumia kwenye mambo gani?Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
Chanzo: Mpekuzi
========
Mbunge Dkt. Mollel akiwa Bungeni amesema fedha zinazopatikana kwenye rasilimali ambazo si endelevu(Mf. Madini) zinapaswa kuwekezwa kwenye maeneo ambayo yataendelea kulipa taifa pato hata zikiisha.
Nayo ni
1. Rasilimali watu
2. Miundombinu
3. Ugunduzi na Teknolojia
Pia ameeleza kuwa wakati sisi tunawekeza huko, kuna baadhi ya nchi ambazo rasilimali zao zimekwisha hivyo wanatafuta maeneo katika nchi zetu ili waweze kuwekeza kwenye rasilimali zetu na kuzipa nchi zao nguvu.
Katika kutoa mfano wa hilo, Dkt. Mollel anadai kuwa akiwa CHADEMA chini ya Mbunge Selasini, walikuwa wakipanga mikakati ya kuzuia Serikali isiwekeze maeneo hayo.
Katika mkakati huo ikaonekana kuwa Tundu Lissu anajipatia umaarufu binafsi hivyo wakampiga risasi na kumuumiza.
Anasema mkakati huo ndio unaendelea hadi sasa Ulaya ukifadhiliwa na watu wachafu wenye nia ya kuiba rasilimali za Watanzania. Anasema suala la Lissu liko wazi sababu hata Chacha Wangwe alipotaka Uenyekiti nini kilimpata?
Mabomu ya Arusha
Akizidi kukandamizia point yake, Mollel amesema alikuwa Daktari mwakilishi wa CHADEMA kipindi cha Mabomu ya Arusha na alipotoka kwenye chumba cha uchunguzi(post mortem) aliwaeleza viongozi wake kuwa ameiba vitu kadhaa toka kwenye chumba hicho hivyo wavipeleke Afrika ya Kusini kwa ajili ya uchunguzi lakini walikataa licha ya kuwa na Ruzuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona Chadema hawajakamatwa pamoja na hii damning evidence ya Mollel?Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
Chanzo: Mpekuzi
========
Mbunge Dkt. Mollel akiwa Bungeni amesema fedha zinazopatikana kwenye rasilimali ambazo si endelevu(Mf. Madini) zinapaswa kuwekezwa kwenye maeneo ambayo yataendelea kulipa taifa pato hata zikiisha.
Nayo ni
1. Rasilimali watu
2. Miundombinu
3. Ugunduzi na Teknolojia
Pia ameeleza kuwa wakati sisi tunawekeza huko, kuna baadhi ya nchi ambazo rasilimali zao zimekwisha hivyo wanatafuta maeneo katika nchi zetu ili waweze kuwekeza kwenye rasilimali zetu na kuzipa nchi zao nguvu.
Katika kutoa mfano wa hilo, Dkt. Mollel anadai kuwa akiwa CHADEMA chini ya Mbunge Selasini, walikuwa wakipanga mikakati ya kuzuia Serikali isiwekeze maeneo hayo.
Katika mkakati huo ikaonekana kuwa Tundu Lissu anajipatia umaarufu binafsi hivyo wakampiga risasi na kumuumiza.
Anasema mkakati huo ndio unaendelea hadi sasa Ulaya ukifadhiliwa na watu wachafu wenye nia ya kuiba rasilimali za Watanzania. Anasema suala la Lissu liko wazi sababu hata Chacha Wangwe alipotaka Uenyekiti nini kilimpata?
Mabomu ya Arusha
Akizidi kukandamizia point yake, Mollel amesema alikuwa Daktari mwakilishi wa CHADEMA kipindi cha Mabomu ya Arusha na alipotoka kwenye chumba cha uchunguzi(post mortem) aliwaeleza viongozi wake kuwa ameiba vitu kadhaa toka kwenye chumba hicho hivyo wavipeleke Afrika ya Kusini kwa ajili ya uchunguzi lakini walikataa licha ya kuwa na Ruzuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwann hamuwakamati wahusika? Mana waachia tu huru. Kutwa mnaimba ni wauawaji.. jmn fungueni kesi? Mbona ni ishu rais sanaChadema ni wahuni sasa Kwanini walitaka kuua ?
Kwa wale wanaofuatilia utendaji wa Mungu muumba wa mbingu na nchi sasa siyo wakati wa kushindana tena na utawala huu wa CCM.Sasa kwann hamuwakamati wahusika? Mana waachia tu huru. Kutwa mnaimba ni wauawaji.. jmn fungueni kesi? Mbona ni ishu rais sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio huyu, dereva anajua kila kitu.Huyu Ndio alifuchua waliomshambulia kamanda wetu wa Ubeligiji ?
Ndio maana dereva harudi
Ndio huyu, dereva anajua kila kitu.
Wana wivu tu, Lissu alitaka awe maarufu kwa kila kitu.Sasa Kwanini watu wa chama walitaka kumuua kamanda lissu ?