Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Jiwe kaona huyu kichaa anaenda kupingwa chini na mwanri kaamua kumuokoa dk ya 89 Sasa mwanri ndo atajua unafki wa jiwe
naona zaidi ni hapa, mpira ulishaisha bado dk 1 Bunge livunjwe warudi kwenye Majimbo yao kujipanga
1589697634942.png
 
Kuna mkanganyiko mkubwa sana kwenye hizo taarifa...

Hii inaitwa funika kombe... mwanaharmu apite...



Cc: mahondaw
 
Huyu si mwingine bali ni Dk Godwin Mollel ni mtu pekee ambae alionyesha ushujaa wa hali ya juu kwa kusema ukweli juu ya watu waliompiga risasi mwanasheria nguli, Tundu Lissu.

Ni Daktari wa binadamu na ameshawahi kuwa mtumishinwa serikali kama kwa muda mrefu, na akaamua kujiunga na Chadema. Baada ya kuona ni chama kisichofaa baada ya kupanga njama za kumpiga risasi Lissu aliamua kurudi Ccm.

Dk Mollel alifichua njama zote zilizopangwa na Chadema ili kumuua Lissu sababu Lissu alionekana kupata umaarufu kwa muda mfupi. Pia Dk Mollel alidai Chadema wana kikundi cha magaidi ambacho huwa kinatumika kufanya ghasia na ugaidi. Mfano ni lile bomu walilolipua kwenye mkutano wa kampeni mjini Arusha ambapo watu walikufa na kujeruhiwa.

Ni Daktari mbobezi hivyo anaenda kufanya kazi kama alivyotumwa na mkuu wake. Ila wazalendo wanampongeza kwa kusema ukweli juu ya wasiojulikana ambao ni Chadema.
Mtoa uzi umelogwa na lumumba wewe...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom