Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!

Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.

========

Mbunge Dkt. Mollel akiwa Bungeni amesema fedha zinazopatikana kwenye rasilimali ambazo si endelevu(Mf. Madini) zinapaswa kuwekezwa kwenye maeneo ambayo yataendelea kulipa taifa pato hata zikiisha.

Nayo ni

1. Rasilimali watu
2. Miundombinu
3. Ugunduzi na Teknolojia

Pia ameeleza kuwa wakati sisi tunawekeza huko, kuna baadhi ya nchi ambazo rasilimali zao zimekwisha hivyo wanatafuta maeneo katika nchi zetu ili waweze kuwekeza kwenye rasilimali zetu na kuzipa nchi zao nguvu.

Katika kutoa mfano wa hilo, Dkt. Mollel anadai kuwa akiwa CHADEMA chini ya Mbunge Selasini, walikuwa wakipanga mikakati ya kuzuia Serikali isiwekeze maeneo hayo.

Katika mkakati huo ikaonekana kuwa Tundu Lissu anajipatia umaarufu binafsi hivyo wakampiga risasi na kumuumiza.

Anasema mkakati huo ndio unaendelea hadi sasa Ulaya ukifadhiliwa na watu wachafu wenye nia ya kuiba rasilimali za Watanzania. Anasema suala la Lissu liko wazi sababu hata Chacha Wangwe alipotaka Uenyekiti nini kilimpata?

Mabomu ya Arusha

Akizidi kukandamizia point yake, Mollel amesema alikuwa Daktari mwakilishi wa CHADEMA kipindi cha Mabomu ya Arusha na alipotoka kwenye chumba cha uchunguzi(post mortem) aliwaeleza viongozi wake kuwa ameiba vitu kadhaa toka kwenye chumba hicho hivyo wavipeleke Afrika ya Kusini kwa ajili ya uchunguzi lakini walikataa licha ya kuwa na Ruzuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ujinga ni mtu asiye na Akili timamu pekee anaweza kukaa akauamini na wengi wajinga ndiyo wataushabikia sana, kwa Akili za kawaida tu hivi chadema ndiyo waling’oa cctv camera? Chadema ndiyo waliwatoa walinzi wa getini? Dereva kunusurika kwenye Tukio vina uhusiano gani na tukio zima kwani kunusurika si hutokea hata Ndege zikianguka pia, Dr molel siyo mungu siyo malaika kuwa anachokisema kimetoka mbinguni kwa mungu ni kiumbe fulani kaamua kujitoa ufahahamu kwa sababu ya njaa zake, watanzania siyo wajinga kiasi hicho wanajua CCM ya sasa wapo busy kuudhofisha chadema kwa kila mbinu na hiyo ni mbinu mojawapo ingawa watafeli sana.
 
Dr molel ni kiumbe aliyeamua kuijiaibisha kwa njia za kishamba sana kajitoa fahamu akizani watanzania wamelala ni wajinga kama yeye binafsi, aendelee kuendekeza njaa zake lakini ajue mungu anamuona na mungu anajua Daud Bashite alivyosafiri toka Dsm na kundi lake na akina nyaulingo kwenda kufanya hilo shambulio kwa Tundu lisu, huyo Dr molel kaja kishamba sana anazani watanzania ni mbumbumbu kiasi hicho?
 
Kwa serikali hii ya Magufuli, kama wangekuwa na ushahidi wa shambulio la Lissu wangeutoa siku hiyo hiyo na wahusika wangekamatwa.


Lakini cha ajabu wamebaki kusema leteni dereva ahojiwe.

Mara tunamfutia Lissu ubunge, mara mshahara unasitishwa, mara blaa blaa gani.....

Haya leteni huo ushahidi tena wa CCTV camera mlizozificha
Ni kweli kwa utawala huu unavyoichukia chadema lazima week ile ile mtu angefungwa na kunyongwa juu, Dr molel kaja na sinema za kishamba sana kasahau kuwa watanzania wa sasa wameamka wapo makini wanajua kila kitu wanafahamu waliomshambulia Tundu lisu akina Le mutuz walishatoa siri zote hakuna siri tena, huyo sasa siyo Doctor’ ni Molel darasa la nne kichwani hana kitu tena haiwezekani kwa mtu kujiita Doctor kisha kuja na sinema za kishamba kiasi hicho, hiyo ni dharau kwa watanzania.
 
Dr molel tafuta wapumbavu wenzako uwaelezee huo ujinga wako lakini watanzania wa sasa wameamka wanajua kuchanganua kila neno hawawezi kukaa kuamini sinema yako ya kutengeneza kishamba hivyo.
 
Nina uhakika hawezi kutoa kauli natuhuma kama hizi nzito Bungeni lazima kiti kingemuagiza adhibitishe vinginevyo anaitwa kwenye kamati.Bunge letu ni makini kama ingekuwa ni rahisi hivyo mbona wabunge wa Cdm wana ma"file"" lukuki kuhusu wabunge wa CCM kuhusu kashfa walizonazo na mambo mengine binafsi kama vile magonjwa sugu. michezo michafu ya kununua wabunge na kutekana e.t.c
Hii kitu ina ukweli na Dk Mollel anajua ukweli. Chadema ipo siku wataumbuka. Na jinai haina mwisho nia yao ni kuichafua Ccm.
 
Dr molel tafuta wapumbavu wenzako uwaelezee huo ujinga wako lakini watanzania wa sasa wameamka wanajua kuchanganua kila neno hawawezi kukaa kuamini sinema yako ya kutengeneza kishamba hivyo.
Wewe mwenye akili ndogo ndio huwezi kuamini haya. Lakini wanaojua umafia wa Chadema wanakaa kimya.
 
Namwomba afande Siro amwite Mollel akasaidie upelelezi. Haiwezekani mpaka leo kitendawili cha nani alitaka kumwua Lissu hakijateguliwa wakati key witness kajitokeza mwenyewe kwa hiari yake bila kualzimishwa na mtu.

Imani yangu kesho asubuhi Mollel atakuwa ameripoti polisi!
Dr molel njaa ndizo zimemfanya ajitoe fahamu na njia pekee ya kumuonyesha kuwa anafanya ujinga ni Tundu lisu kumfungulia kesi kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague akaeleze vizuri huo ujinga wake, kule hawana ujinga watazitaka cctv camera watawahitaji walinzi wa getini watasaka ushahidi wote.
 
Wewe mwenye akili ndogo ndio huwezi kuamini haya. Lakini wanaojua umafia wa Chadema wanakaa kimya.
Wewe ndiyo punguani unaamini kifala fala hakuna umafia chadema huo uzushi wako bakia nao huko gheto mnakovuta Bangi na kukariri ujinga, watanzania siyo wajinga kama wewe hawawezi kuamini propaganda za CCM kishamba shamba hivyo.
 
CCM tafuteni watetezi wapya mitandaoni hawa mnaowatumia kwa sasa uwezo wao wa kufikiri ulishafika mwisho kwani wengi hushinda gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz kubwa jinga wakivuta Bangi ndiyo maana utetezi wao mitandaoni unafanana sana baada ya kukuririshwa kila kitu, CCM ni chama kikubwa tafuteni watu makini waje na hoja za msingi acheni kuwatumia wavuta Bangi wanakiabisha chama cha CCM
 
Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.


View attachment 1017124

Kwa ufupi
Mbunge huyo wa Siha aliyehama Chadema na kujiunga CCM amesema tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 ni mpango uliosukwa na Chadema ingawa hakuwa tayari kuthibitisha madai yake.


Dodoma. Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel amesema tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 jijini Dodoma ni mpango uliosukwa na Chadema na kutoa sharti kwa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania kuwa wakilitimiza atakuwa tayari kuthibitisha.

Dk Mollel, mbunge wa zamani wa Siha kwa tiketi ya Chadema aliyejiunga CCM mwaka 2018 na kupitishwa kuwania ubunge na kuibuka na ushindi, ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Februari 8, 2019 bungeni jijini Dodoma.

Amesema hata siku ya kufanya uchunguzi baada ya Lissu kupigwa risasi, kuna baadhi ya sampuli aliziiba lakini uongozi wa Chadema ulikataa pendekezo lake la kupeleka sampuli hiyo Afrika Kusini kufanya uchunguzi kwani walikuwa na hofu ya kuumbuliwa.

“Mimi nilikuwa huko lakini nilikimbia kwa mipango yao, hata katika tukio la kushambuliwa Lissu mimi niliingia ndani kwenye uchunguzi na niliiba baadhi ya vitu lakini wakakataa mapendekezo yangu," amesema Mollel.

Hata hivyo, mbunge wa Tunduma (Chadema), Frank Mwakajoka aliomba taarifa akimtaka Dk Mollel kueleza ni kwa nini alikuwa anakiuka kiapo cha udaktari, na mbunge huyo wa Siha kujibu kuwa alifanya hivyo kwa sababu alikuwa kada mwaminifu wa Chadema.

Wakati Mwakajoka akieleza hayo, mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini alimtaka Dk Mollel kuthibitisha madai yake kuhusu Lissu.

Katika majibu yake Dk Mollel amesema hawezi kuthibitisha hadi Chadema watakapomueleza fedha za ruzuku zinakwenda wapi na mpango waliotaka kuufanya kwa Zitto Kabwe (mbunge wa Kigoma Mjini) na marehemu Chacha Wangwe, walipotaka kugombea uenyekiti wa Chadema.

Soma Zaidi: Alichokisema dereva wa Lissu katika mahojiano Ujerumani
Huyu Dr Mollel ana ROHO MBAYA sana. Uzuri namfahamu vizuri - mambo yake haya ya roho mbaya yatamfikisha tu mahali atakwama!
 
Huyu Dr Mollel ana ROHO MBAYA sana. Uzuri namfahamu vizuri - mambo yake haya ya roho mbaya yatamfikisha tu mahali atakwama!
Njia ya kumpa somo ni Tundu lisu kumshitaki kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague
 
Kama lissu anatoka mishipa ya shingo kwa kuiaminisha dunia kuwa rais hajawai kutoa tamko lolote kufuatia ye kushambuliwa wala kiongozi yoyote wa serikali kumtembelea, kwa nini tusimuamini mollel?

Sent using Jamii Forums mobile app
Muamini peke yako lakini wengi wanamuona molel kachanganyikiwa sasa
 
Zile nguo za kijani sijui waliweka vitu gani maana mwenye password ya akili alikuwa na password yake.Tumbo ndo ugeuka akili.Wanajali tumbo kuliko hali halisi
Ha ha haaaa
 
Sio nyie mnayemuona hivyo ndio mmechanganyikiwa.?Mjitathmini tena mtajigundua tu.
Wewe ukijigundua kwanza mapungufu yako ndipo tutaamini unachotaka kutengeneza ingawa unajua kuwa ni vigumu kikubalike kwa watanzania wa sasa ambao wameamka kwa kiwango kikubwa
 
Wewe ukijigundua kwanza mapungufu yako ndipo tutaamini unachotaka kutengeneza ingawa unajua kuwa ni vigumu kikubalike kwa watanzania wa sasa ambao wameamka kwa kiwango kikubwa
Hivi we katika walioamka unathubutu kabisa kujiona walioamka. Duh ufipa bado mna safari ndefu sana.
 
Back
Top Bottom