Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaa....Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
This is part of the academic thesis that has awarded him the post of a deputy minister. Bravo!Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
========
Mbunge Dkt. Mollel akiwa Bungeni amesema fedha zinazopatikana kwenye rasilimali ambazo si endelevu(Mf. Madini) zinapaswa kuwekezwa kwenye maeneo ambayo yataendelea kulipa taifa pato hata zikiisha.
Nayo ni
1. Rasilimali watu
2. Miundombinu
3. Ugunduzi na Teknolojia
Pia ameeleza kuwa wakati sisi tunawekeza huko, kuna baadhi ya nchi ambazo rasilimali zao zimekwisha hivyo wanatafuta maeneo katika nchi zetu ili waweze kuwekeza kwenye rasilimali zetu na kuzipa nchi zao nguvu.
Katika kutoa mfano wa hilo, Dkt. Mollel anadai kuwa akiwa CHADEMA chini ya Mbunge Selasini, walikuwa wakipanga mikakati ya kuzuia Serikali isiwekeze maeneo hayo.
Katika mkakati huo ikaonekana kuwa Tundu Lissu anajipatia umaarufu binafsi hivyo wakampiga risasi na kumuumiza.
Anasema mkakati huo ndio unaendelea hadi sasa Ulaya ukifadhiliwa na watu wachafu wenye nia ya kuiba rasilimali za Watanzania. Anasema suala la Lissu liko wazi sababu hata Chacha Wangwe alipotaka Uenyekiti nini kilimpata?
Mabomu ya Arusha
Akizidi kukandamizia point yake, Mollel amesema alikuwa Daktari mwakilishi wa CHADEMA kipindi cha Mabomu ya Arusha na alipotoka kwenye chumba cha uchunguzi(post mortem) aliwaeleza viongozi wake kuwa ameiba vitu kadhaa toka kwenye chumba hicho hivyo wavipeleke Afrika ya Kusini kwa ajili ya uchunguzi lakini walikataa licha ya kuwa na Ruzuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kinyume chake. Maana mlipiga risadi kamanda mwenzenu.
jamaa kasisitiza kabisa ni Mbunge wa KigamboniAisee,..nlikuwa sijui
Sijui. Kada aitwe polisi?Namwomba afande Siro amwite Mollel akasaidie upelelezi. Haiwezekani mpaka leo kitendawili cha nani alitaka kumwua Lissu hakijateguliwa wakati key witness kajitokeza mwenyewe kwa hiari yake bila kualzimishwa na mtu.
Imani yangu kesho asubuhi Mollel atakuwa ameripoti polisi!
Huyo mkoma tuAliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
========
Mbunge Dkt. Mollel akiwa Bungeni amesema fedha zinazopatikana kwenye rasilimali ambazo si endelevu(Mf. Madini) zinapaswa kuwekezwa kwenye maeneo ambayo yataendelea kulipa taifa pato hata zikiisha.
Nayo ni
1. Rasilimali watu
2. Miundombinu
3. Ugunduzi na Teknolojia
Pia ameeleza kuwa wakati sisi tunawekeza huko, kuna baadhi ya nchi ambazo rasilimali zao zimekwisha hivyo wanatafuta maeneo katika nchi zetu ili waweze kuwekeza kwenye rasilimali zetu na kuzipa nchi zao nguvu.
Katika kutoa mfano wa hilo, Dkt. Mollel anadai kuwa akiwa CHADEMA chini ya Mbunge Selasini, walikuwa wakipanga mikakati ya kuzuia Serikali isiwekeze maeneo hayo.
Katika mkakati huo ikaonekana kuwa Tundu Lissu anajipatia umaarufu binafsi hivyo wakampiga risasi na kumuumiza.
Anasema mkakati huo ndio unaendelea hadi sasa Ulaya ukifadhiliwa na watu wachafu wenye nia ya kuiba rasilimali za Watanzania. Anasema suala la Lissu liko wazi sababu hata Chacha Wangwe alipotaka Uenyekiti nini kilimpata?
Mabomu ya Arusha
Akizidi kukandamizia point yake, Mollel amesema alikuwa Daktari mwakilishi wa CHADEMA kipindi cha Mabomu ya Arusha na alipotoka kwenye chumba cha uchunguzi(post mortem) aliwaeleza viongozi wake kuwa ameiba vitu kadhaa toka kwenye chumba hicho hivyo wavipeleke Afrika ya Kusini kwa ajili ya uchunguzi lakini walikataa licha ya kuwa na Ruzuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna jamboWa kwanza kukamatwa alitakiwa awe dereva lakini amefichwa.
Nina uhakika hawezi kutoa kauli natuhuma kama hizi nzito Bungeni lazima kiti kingemuagiza adhibitishe vinginevyo anaitwa kwenye kamati.Bunge letu ni makini kama ingekuwa ni rahisi hivyo mbona wabunge wa Cdm wana ma"file"" lukuki kuhusu wabunge wa CCM kuhusu kashfa walizonazo na mambo mengine binafsi kama vile magonjwa sugu. michezo michafu ya kununua wabunge na kutekana e.t.cAliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
========
Mbunge Dkt. Mollel akiwa Bungeni amesema fedha zinazopatikana kwenye rasilimali ambazo si endelevu(Mf. Madini) zinapaswa kuwekezwa kwenye maeneo ambayo yataendelea kulipa taifa pato hata zikiisha.
Nayo ni
1. Rasilimali watu
2. Miundombinu
3. Ugunduzi na Teknolojia
Pia ameeleza kuwa wakati sisi tunawekeza huko, kuna baadhi ya nchi ambazo rasilimali zao zimekwisha hivyo wanatafuta maeneo katika nchi zetu ili waweze kuwekeza kwenye rasilimali zetu na kuzipa nchi zao nguvu.
Katika kutoa mfano wa hilo, Dkt. Mollel anadai kuwa akiwa CHADEMA chini ya Mbunge Selasini, walikuwa wakipanga mikakati ya kuzuia Serikali isiwekeze maeneo hayo.
Katika mkakati huo ikaonekana kuwa Tundu Lissu anajipatia umaarufu binafsi hivyo wakampiga risasi na kumuumiza.
Anasema mkakati huo ndio unaendelea hadi sasa Ulaya ukifadhiliwa na watu wachafu wenye nia ya kuiba rasilimali za Watanzania. Anasema suala la Lissu liko wazi sababu hata Chacha Wangwe alipotaka Uenyekiti nini kilimpata?
Mabomu ya Arusha
Akizidi kukandamizia point yake, Mollel amesema alikuwa Daktari mwakilishi wa CHADEMA kipindi cha Mabomu ya Arusha na alipotoka kwenye chumba cha uchunguzi(post mortem) aliwaeleza viongozi wake kuwa ameiba vitu kadhaa toka kwenye chumba hicho hivyo wavipeleke Afrika ya Kusini kwa ajili ya uchunguzi lakini walikataa licha ya kuwa na Ruzuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
A lot of shit is coming soon from this fugitive.Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
========
Mbunge Dkt. Mollel akiwa Bungeni amesema fedha zinazopatikana kwenye rasilimali ambazo si endelevu(Mf. Madini) zinapaswa kuwekezwa kwenye maeneo ambayo yataendelea kulipa taifa pato hata zikiisha.
Nayo ni
1. Rasilimali watu
2. Miundombinu
3. Ugunduzi na Teknolojia
Pia ameeleza kuwa wakati sisi tunawekeza huko, kuna baadhi ya nchi ambazo rasilimali zao zimekwisha hivyo wanatafuta maeneo katika nchi zetu ili waweze kuwekeza kwenye rasilimali zetu na kuzipa nchi zao nguvu.
Katika kutoa mfano wa hilo, Dkt. Mollel anadai kuwa akiwa CHADEMA chini ya Mbunge Selasini, walikuwa wakipanga mikakati ya kuzuia Serikali isiwekeze maeneo hayo.
Katika mkakati huo ikaonekana kuwa Tundu Lissu anajipatia umaarufu binafsi hivyo wakampiga risasi na kumuumiza.
Anasema mkakati huo ndio unaendelea hadi sasa Ulaya ukifadhiliwa na watu wachafu wenye nia ya kuiba rasilimali za Watanzania. Anasema suala la Lissu liko wazi sababu hata Chacha Wangwe alipotaka Uenyekiti nini kilimpata?
Mabomu ya Arusha
Akizidi kukandamizia point yake, Mollel amesema alikuwa Daktari mwakilishi wa CHADEMA kipindi cha Mabomu ya Arusha na alipotoka kwenye chumba cha uchunguzi(post mortem) aliwaeleza viongozi wake kuwa ameiba vitu kadhaa toka kwenye chumba hicho hivyo wavipeleke Afrika ya Kusini kwa ajili ya uchunguzi lakini walikataa licha ya kuwa na Ruzuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mzee Mangula aliponzwa na nini hadi kulishwa sumuDuh kumbe chacha wangwe kaponzwa na Nia yake kutaka uenyekiti
Nina imani na aliyosema mzalendo MusibaBasi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Kwa ufupi
Mbunge huyo wa Siha aliyehama Chadema na kujiunga CCM amesema tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 ni mpango uliosukwa na Chadema ingawa hakuwa tayari kuthibitisha madai yake.
Dodoma. Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel amesema tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 jijini Dodoma ni mpango uliosukwa na Chadema na kutoa sharti kwa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania kuwa wakilitimiza atakuwa tayari kuthibitisha.
Dk Mollel, mbunge wa zamani wa Siha kwa tiketi ya Chadema aliyejiunga CCM mwaka 2018 na kupitishwa kuwania ubunge na kuibuka na ushindi, ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Februari 8, 2019 bungeni jijini Dodoma.
Amesema hata siku ya kufanya uchunguzi baada ya Lissu kupigwa risasi, kuna baadhi ya sampuli aliziiba lakini uongozi wa Chadema ulikataa pendekezo lake la kupeleka sampuli hiyo Afrika Kusini kufanya uchunguzi kwani walikuwa na hofu ya kuumbuliwa.
“Mimi nilikuwa huko lakini nilikimbia kwa mipango yao, hata katika tukio la kushambuliwa Lissu mimi niliingia ndani kwenye uchunguzi na niliiba baadhi ya vitu lakini wakakataa mapendekezo yangu," amesema Mollel.
Hata hivyo, mbunge wa Tunduma (Chadema), Frank Mwakajoka aliomba taarifa akimtaka Dk Mollel kueleza ni kwa nini alikuwa anakiuka kiapo cha udaktari, na mbunge huyo wa Siha kujibu kuwa alifanya hivyo kwa sababu alikuwa kada mwaminifu wa Chadema.
Wakati Mwakajoka akieleza hayo, mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini alimtaka Dk Mollel kuthibitisha madai yake kuhusu Lissu.
Katika majibu yake Dk Mollel amesema hawezi kuthibitisha hadi Chadema watakapomueleza fedha za ruzuku zinakwenda wapi na mpango waliotaka kuufanya kwa Zitto Kabwe (mbunge wa Kigoma Mjini) na marehemu Chacha Wangwe, walipotaka kugombea uenyekiti wa Chadema.
Soma Zaidi: Alichokisema dereva wa Lissu katika mahojiano Ujerumani