minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Siyo mahakamaccm hapo hakuna haki, dawa ni mahakama za kimataifa The Hague pekeeHuyu dawa yake ni kwenda mahakamani
Sent using Sukhoi Su-57
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo mahakamaccm hapo hakuna haki, dawa ni mahakama za kimataifa The Hague pekeeHuyu dawa yake ni kwenda mahakamani
Sent using Sukhoi Su-57
Mbona wewe binafsi umelala unawezaje kujua aliyelala? Kuamini ufala wa molel Mbumbumbu ndiyo Safari yako fupi? Wewe ndiyo na CCM ndiyo mna Safari ndefuHivi we katika walioamka unathubutu kabisa kujiona walioamka. Duh ufipa bado mna safari ndefu sana.
Hahah kweli we mbumbumbu. Ccm ina safari gani sasa?Mbona wewe binafsi umelala unawezaje kujua aliyelala? Kuamini ufala wa molel Mbumbumbu ndiyo Safari yako fupi? Wewe ndiyo na CCM ndiyo mna Safari ndefu
kamungu kapuuzi kanakofurahishwa na habari za uongo na uzushiHuwa wanaropoka tu bila reasoning tu ili kumfurahisha mungu wao
Kilaza molel kajitoa ufahamu akasahau kuwa watanzania wana Akili kuliko yeye na waliomtumaKinjaa njaa Mollel kaa na ushahidi wako si tunasubiri ushahidi wa CCTV na walinzi wa zamu ...
Hayo mengine ni kama ubuyu wa Zanzibar tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwabambikia wapinzani kesi ni Safari ndefu zaidiHahah kweli we mbumbumbu. Ccm ina safari gani sasa?
Waambie ndugu zako chadema huko
Wewe ni juha unawezaje kujua mbumbumbu? Hapo ulipo Bangi imekujaa kichwani unawezaje kujua chochote? Kitendo cha kuamini ufala wa juha mwenzako molel ni ushahidi tosha kuwa wewe ni mvuta Bangi mwenzake.Hahah kweli we mbumbumbu. Ccm ina safari gani sasa?
Waambie ndugu zako chadema huko
Molel kasahau kuwa mficha cctv camera alizawadiwa uwaziri wa madini kumbukumbu zipoHuyu jamaa anaongea kama mtoto wa chekechea mwenye matatizo.Kwa kauli yake hiyo ni dhahiri kuwa ccm imeshindwa kuisimamia serikali na inafaa kuondoka mara moja ili chadema waweze kuisimamia.Haiingii akilini kwa sehemu yenye ulinzi wa jeshi halafu chadema wakaingia ndani wanafanya tukio la kutaka kuuwa na baadae wakapata hadi muda wa kutoa camera hata bila kukamatwa hadi hivi sasa,ama kweli jeshi halipo kulingana na hoja dhaifu ya Molleli.Yeye molleli alidhani anajenga kwa kuongea utumbo huu,kumbe ndiyo kwanza anaizalilisha serikali yake.Haya mambo si yakuwaeleza watu wenye akili timamu bali ni mataahira tu ndiyo wakuwaeleza utumbo huu.
Chadema mbona hawajakanusha alichosema Dk Mollel na Yeye alisema yupo tayari kuhojiwa. Kama bhangi labda unavuta wewe. Watu wanaongelea facts. Acha kupanicCCM tafuteni watetezi wapya mitandaoni hawa mnaowatumia kwa sasa uwezo wao wa kufikiri ulishafika mwisho kwani wengi hushinda gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz kubwa jinga wakivuta Bangi ndiyo maana utetezi wao mitandaoni unafanana sana baada ya kukuririshwa kila kitu, CCM ni chama kikubwa tafuteni watu makini waje na hoja za msingi acheni kuwatumia wavuta Bangi wanakiabisha chama cha CCM
Jinai haina mwisho? Imekuwa MUNGU? Mijitu kwa upuuzi hamjambo.mmeuwa alfonce mawazo leo yako wapi?. Mmeuwa daud mwangosi na watu wakapandishwa na vyeo. Alafu mnalegeza pua jinai haina mwisho. MTAJIBU KWA MUNGU MAANA KULE HAMNA PA KUTOKEA.Hii kitu ina ukweli na Dk Mollel anajua ukweli. Chadema ipo siku wataumbuka. Na jinai haina mwisho nia yao ni kuichafua Ccm.
Kumuumbua nani? Labda vilaza mbumbumbu juha wenzako, ujue watanzania siyo wajinga kama nyinyi washabiki njaa wa molel mbumbumbu.Hahahaa....... Mollel kawaumbua!
Safari inaisha tarehe 19 Bunge likivunjwa.Hivi we katika walioamka unathubutu kabisa kujiona walioamka. Duh ufipa bado mna safari ndefu sana.
Watawekwa wazi mengi sanaUtawala wa magu ukiisha tutafahamu mengi sana!
Chadema hawana mda kujibishana na Doctor feki aliyechanganyikiwa humu JF CCM mpo wanaona haya majibu yanatosha kumpelekea salama molelChadema mbona hawajakanusha alichosema Dk Mollel na Yeye alisema yupo tayari kuhojiwa. Kama bhangi labda unavuta wewe. Watu wanaongelea facts. Acha kupanic
We mbulula kweli unadhani the Hague wanapelekwa kitoto. Mleteni huyo dereva atoe maelezo kwa nini aliwaona wale wakora tokea bungeni alafu hakumstua Lissu? Kwa nini asibadili hata njia kuwachenga?Siyo mahakamaccm hapo hakuna haki, dawa ni mahakama za kimataifa The Hague pekee
Hiki ni kipimo kuwa CCM uwezo wao wa dira umefika kikomo mbinu za kuudhofisha chadema zimewaishia wameanza kuwatumia Doctor feki kuwabambikia uongo chademaSasa huyu Dr mzima kabisa anatoa hoja ya kipuuzi namna hii na mamlaka za ulinzi na usalama zinamuacha tu!
Kweli ccm na ujinga ni kama bwawa la samaki na samaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuandika kama hujui kitu. Aliyemuua Mwangosi alishahukumiwa. Waliomuua Mawazo wanakesi na nina hakika walishahukumiwa. Mbona kila kitu mnaingiza siasa za uchochezi.Jinai haina mwisho? Imekuwa MUNGU? Mijitu kwa upuuzi hamjambo.mmeuwa alfonce mawazo leo yako wapi?. Mmeuwa daud mwangosi na watu wakapandishwa na vyeo. Alafu mnalegeza pua jinai haina mwisho. MTAJIBU KWA MUNGU MAANA KULE HAMNA PA KUTOKEA.