Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

njaaa huzaa uoga,mwishoo unafiki.
 
agh wapi, thubutuuuuuuu, hii issue wakija scotland yard hapa siku mbili tu hadi kolomije kunawaka motoooo, achana na comedy za kina mollel na waitara wanajua ccm wanataka kusikika kitu gani,wanawachezea drama tu, mwaka jana septermber waitara alillaani vikali juzi kasema chadema inahusika....dram za kipuuzi nchi hiii sana.
 
Kwakweli mateso mnayopata hadi mnatia huruma
 
Wachagga Wezi aisee mtu anaiba hadi sampuli za mgonjwa!
 
Saa ya kurekodi na CCTV wapi na wapi? Au ndo madhara ya elimu bure
muulize Nassari na Msigwa nilidhani wewe ni mwanabavicha kumbe hata hujui kuhusu saa za kurekodi
 
Majitu yenye upara maongo sana
 
muulize Nassari na Msigwa nilidhani wewe ni mwanabavicha kumbe hata hujui kuhusu saa za kurekodi
Wewe ndo uliesema kuhusu jambo hilo kwa nini nimuulize Nassari na Msigwa? Una matatizo gani? Au ndo unasadifu jinsi jina unalolitumia?
 
Mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana ndugu Mollel naamini polisi wamepata pa kuanzia....

Huna haja ya kuwathibitishia madai yako hao CHADEMA (ingawaje umechemka vibaya sana hapo unapoleta hoja ya matumizi ya ruzuku). Beba mafaili yako mpelekee Kamanda IGP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi kama unao umekaa nao miaka karibu 2 wa kazi gani kama sio unafiki na uzandiki! Kuna maswali ambayo chizi akijiuliza anapata majibu hasi, porojo nyiiingi ambazo hazina mwelekeo wowote, siku zote amekua wapi hadi Leo ndio aseme anaushahidi na ukitaka kujua ni wa kubumba mpaka Leo mbona hajaupeleka polisi ili kutenegeneza utulivu na amani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…