Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Kama huwezi kuandika Kiswahili chepesi "anaropoka" na unaandika "analopoka", tambua akili yako siyo ya jukwaa hili kwa hiyo huwezi kujenga hoja na sisi.

Liwagu wewe soma tu ujifunze
Sawa asante kwakuni sahihisha, basi uache KUROPOKA.
Sawa?
 
Kwa hiyo akili yako inakuaminisha kuwa Dreva wa Lissu ndiye alimshambulia Lissu. Kisha Lissu anaendelea kumkingia kifua asihojiwe??

Hivi unajuwa kuwa Polisi wanabambiki watu kesi? Polisi wa Mbeya waliposhindwa kum silence Mdude wakamuwekea kete za cocaine.

Usiniaminishe kuwa competency ya Polisi wetu kwa shauri la Lissu haiwezi kukamilika mpaka umpate Dreva wake.

Pili walikuwa wana uwezo wa kupata maelezo yake wakati akiwa Kenya na bado wanaweza kupata sasa hivi akiwa Ubelgiji.
 
MIGA amewashikia akilizote, hata huyo alie umizwa na yeye hana haja ya kujua aliemuumiza maana kama unapewa maelekezo na wahusika unakaidhi then kula kiburi chako.
 
MIGA amewashikia akilizote, hata huyo alie umizwa na yeye hana haja ya kujua aliemuumiza maana kama unapewa maelekezo na wahusika unakaidhi then kula kiburi chako.
Sidhani kwa hivi karibuni atatokea tena Raisi mbaya kama Magufuli---- kama atatokea basi ni maelfu ya miaka ijayo kama Tz ikiwa hai"

Ila vitabu vya historia vitamuandika Magu pamoja na Hitler, Mussolini , Stalin, Firauni, Bokasa, Amin
 
Hata ivyo hawezi kuwa mwema kwa kilamtu, hao aliowafanyia mema tutamkumbuka kama shujaa ambae alikuwa na usubutu wa kulipeleka taifa mbele kama tunavyoona.

We ukimuona mbaya nijuuyako maana hata wewe kunawanao kuona mbaya na wanakuombea ufe hataleo. Hayo ndio maisha ya hapa duniani hakuna mkamilifu.
 
Abarikiwe mheshimiwa mollel kwa kuwaumbua hawa Chadema
ww kweli jingalao huyu moleli anachokisema akili zake ziko na timamu,serikali inatakiwa kuwalinda raia wake wote bila kujali vyama vyao mbona hakuna mtuhumiwa hata mmoja kwenye hii kesi au mbowe nchi hii ni untouchable
 
Polisi wanataka kujua nani kampiga risasi lissu yeye anawajua halafu amekaa kimya na ushahidi!!! Anatakiwa kuswekwa ndani huyu!!!
 
Sidhani kwa hivi karibuni atatokea tena Raisi mbaya kama Magufuli---- kama atatokea basi ni maelfu ya miaka ijayo kama Tz ikiwa hai"

Ila vitabu vya historia vitamuandika Magu pamoja na Hitler, Mussolini , Stalin, Firauni, Bokasa, Amin
Baba yako je?
 
Ni nyumbu tu atakayebaki chadema
Wembe ni uleule
 
Hivi molleli si ukoo wa Kimasai? Hawa wamasai hawafai kabisa kuwa viongozi!

Rejelea sabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…