johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dr mollel, huelewekiNaibu Waziri wa afya Dr Mollel amesema chanjo ya Corona ni salama ndio maana Rais Samia mara tu baada ya kuchanjwa aliweza kuendelea na shughuli zake kama kawaida.
Mollel amesema Rais Samia alitoka Ikulu baada ya kuchanjwa na kwenda Lugalo hospital ambako alifanya ukaguzi na kufungua mradi wa afya kisha akahutubia.
Source: Channel ten
Wapi asipoeleweka bwashee?!Dr mollel,hueleweki
Alie sign cheri chako cha udaktari anajuta, una uwezo mdogo sana wa kufikiri. Samia sio kipimo cha tiba, madhara ya tiba yoyote yanaweza tokea mapema au baadae.Naibu Waziri wa afya Dr Mollel amesema chanjo ya Corona ni salama ndio maana Rais Samia mara tu baada ya kuchanjwa aliweza kuendelea na shughuli zake kama kawaida...
Wakati wa JPM alihimiza dawa za miti shamba na nyungu. Miezi minne baada ya kumdanganya JPM ameibukia Kwa Samia na chanjo.Wapi asipoeleweka bwashee?!
Na hao watu wa afya walioko vijijini hawajaongezewa mishaara mpaka leo. Wamenuna balaa. Alafu uje uwaambie mambo ya korona sijui kama wataelewa.Ili swala la chanjo mbona linawapa tabu Sana viongozi wa juu , tumieni watu wa afya ambao wapo mpaka vijijini kuelimisha watu...
Kama na wewe ni Dr. basi alie saini cheti chako Cha udaktari akisoma hii post yako,hakianani anajuta Sana huko aliko.sijajua Dr. Molel aliemsainia cheti chake Kama yuko hai,Ila hata Kama Alisha R.i.p hakianani huko aliko ,marehemu anajuta kusain cheti Cha molel.Naibu Waziri wa afya Dr Mollel amesema chanjo ya Corona ni salama ndio maana Rais Samia mara tu baada ya kuchanjwa aliweza kuendelea na shughuli zake kama kawaida.
Mollel amesema Rais Samia alitoka Ikulu baada ya kuchanjwa na kwenda Lugalo hospital ambako alifanya ukaguzi na kufungua mradi wa afya kisha akahutubia.
Source: Channel ten
Apo ndo Kuna tatizo Mkuu, ila nafikili ndo njia nyepesi ya kuelimisha watuNa hao watu wa afya walioko vijijini hawajaongezewa mishaara mpaka leo. Wamenuna balaa. Alafu uje uwaambie mambo ya korona sijui kama wataelewa.
Fact.Alie sign cheri chako cha udaktari anajuta, una uwezo mdogo sana wa kufikiri. Samia sio kipimo cha tiba, madhara ya tiba yoyote yanaweza tokea mapema au baadae. Ungetoa takwimu za matokeo chanya kwa walio pata chanjo miezi kadhaa iliopita ungeeleweka. Leo hii wananchi wakihoji uhalali wa vyeti vyenu mnanuna.
Yaani katika mawaziri ambao mda wote wanaishi na uzuni kuanzia moyoni mpaka kwenye sura ni uyu, sijui ana shida ganiFact.
Mimi Naona bora wangekaa kimya.Dr Mollel ameongea kama mimi ambae sio daktari
Chanjo inaweza kuwa salama au isiwe salama kweli. NA Rais kuendelea na kazi zake baada ya kupatiwa chanjo haithibitishi usalama wa Chanjo.
Kama anataka kuongelea Usalama wa Chanjo atueleze kwa muda mfupi baada ya chanjo Rais ameweza kufanya kazi zake na kwa muda mrefu .....aseme nini kinaweza kuwa kizuri pia
Inaleta tafrani kwa wananchi.Mataga: Chanjo ya korona ni mbaya ndio Maana magufuli aliikataa.
Baada ya Mama Samia kuchanjwa...
Mataga: Chanjo ya korona haina shinda, ni safi kabisa haina madhara.
Mimi pamoja na wananchi wazalendo: Hao ni kasuku wa Lumumba wanacheza kulingana na biti ili wapate buku 7 zao.