Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Ama kweli Nyani haoni kundule huyu Molel hana shukrani kabisa, huyo anayemwita muhuni ndiye aliyemwokota mtaani na kumfikisha hapo alipo aache dharau 2025 sio mbali.Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani
Dr Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo
Maelezo hayo yamepuuzwa na mh Aida wa Chadema
Nawatakia Sabato Njema!
Sometimes unafeel like why US??Yaani unakuwa na waziri mwenye İQ ndogo kama Mollell then u wish nchi itasonga mbele kimaendeleo.....leo ilikuwa ni platform kubwa saaana kwa wabungu kulisemea TAİFA.....rather than MAJİMBO ya uchaguzi....ilikuwa ni time kujenga hoja zaidi na kuonesha why walichaguliwa kuwakilisha wananchi...unlike that wamebase kufanya personal attacks.....nchi bado ina safari ndefu saaana.😴
Hata Boss wake hamuiti Mbowe mhuni. Haka kajamaa kana matatizo makubwa.Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani
Dr Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo
Maelezo hayo yamepuuzwa na mh Aida wa Chadema
Nawatakia Sabato Njema!
Sasa MKATABA uliopelekwa bingeni unaitwa Mbowe au maana naona mopasho tuMbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani
Dr Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo
Maelezo hayo yamepuuzwa na mh Aida wa Chadema
Nawatakia Sabato Njema!
Ikatokea akaja raisi mwingine na msimamo tofauti, utashangaa anageuka.. Kama enzi za kupiga nyungu..!! Hawa watu maneno yao wanaumba kutokana na wakati..!!Kweli nimeamin shahada za wasomi ni kama ndom mbele ya CCM!!
Hakika ni ndumilakuwili hawa!!Ikatokea akaja raisi mwingine na msimamo tofauti, utashangaa anageuka.. Kama enzi za kupiga nyungu..!! Hawa watu maneno yao wanaumba kutokana na wakati..!!
Anakomoaje ukoo wake wakati yeye ni Mbunge, pia waziri huku mdogo wake ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri?Nape Nnauye tupitishe mkataba huu kwa kishindo ili kutuma Ujumbe" sasa nape kwa akili yako fupi" unadhani una mkomoa Mbowe au Ukoo na kizazi chako?
Bado. Ukoo wake upo. Ni mpana. Tuko nao kitaa. Tuta soma nao namba. Mchele tuna nunua nao duka 1.Anakomoaji ukoo wake wakati yeye ni Mbunge, pia waziri huku mdogo wake ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukikacheki upara na nywele unaweza kudhani ni kawangaji au kachawi na ule ufupi, na nikama kandezi fulani hivi yaani watu wa siha sijui wanakachukuliaje
Hata ana akili sasa?? Ndo maana anababuka uso, mxxiiiieeew zake.Nape Nnauye tupitishe mkataba huu kwa kishindo ili kutuma Ujumbe" sasa nape kwa akili yako fupi" unadhani una mkomoa Mbowe au Ukoo na kizazi chako?
Ni medical doctor sio PHDHuyu ni Dokta kweli?
[emoji23][emoji1787]Sasa akili yake itakuwa sawasawa kweli ! kama amezoea kutibu nguruwe!
Msukuma anawazaraugi wasomi kwa sababu hiiKweli nimeamin shahada za wasomi ni kama ndom mbele ya CCM!!
Kbs, lkn mkuu ndan ya CCM usilete usomi utaula wa chuya 🤣🤣🤣🤣Msukuma anawazaraugi wasomi kwa sababu hii
Fani yake ni kupiga ganzi na kung'oa meno tuu na siha kashinda kwa ukabila wa Wamasai na Wachagga/Wasiha walio wachache.Huyu ni Dokta kweli?
Ndivyo ilivyokuwa. Hawakuwa wanajua chochote.Hii inadhihirisha kuwa hata wabunge wenyewe hawaelewi wanajadili nini.
Mara wanasema hakuna mkataba bali makubaliano baina ya serikali ya dubai na Tanzania, mara wengine wanasema hakuna anayepinga mkataba wa bandari.
Hata hawa wabunge inaelekea hawaelewi wanachojadili ila mihemko tu au wanaelewa ila kwa sababu wanadanganya at some point wanajisahau