Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Mkeka utazungumza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio akili yako ilipo ishia?Embu naomba uniambie hapo ulipo unatoa kodi shilingi ngapi kwa mwezi zinazoweza saidia na kuwezesha serikali yetu kutoa Billion 33 kila mwezi kwa ajili ya kugharimia Elimu bure? Inalipa kodi shilingi ngapi kwa mwezi ambazo zingeweza saidia na kuwezesha serikali kumaliza ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kuzalisha megawati 2115? Ujenzi wa SGR, miundombinu ya barabara,kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma pamoja na kuwapandisha madaraja,ununuzi wa vifaa tiba,madawa na kuajiri watumishi wa afya mahospitalini.ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 21 ,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 368,ujenzi wa zahanati zaidi ya 700,. Unalipa kodi shilingi ngapi ewe mleta hoja? Tuweke ushahidi hapa
Embu naomba uniambie hapo ulipo unatoa kodi shilingi ngapi kwa mwezi zinazoweza saidia na kuwezesha serikali yetu kutoa Billion 33 kila mwezi kwa ajili ya kugharimia Elimu bure? Inalipa kodi shilingi ngapi kwa mwezi ambazo zingeweza saidia na kuwezesha serikali kumaliza ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kuzalisha megawati 2115? Ujenzi wa SGR, miundombinu ya barabara,kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma pamoja na kuwapandisha madaraja,ununuzi wa vifaa tiba,madawa na kuajiri watumishi wa afya mahospitalini.ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 21 ,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 368,ujenzi wa zahanati zaidi ya 700,. Unalipa kodi shilingi ngapi ewe mleta hoja? Tuweke ushahidi hapa
Jibu swali.Hapo ndio akili yako ilipo ishia?
Hataxkama mleta mada analipa kodi kidogo lakini kodi yake na za wengine ndizo zinazoleta maendeleo na kuchangia pato la serikali.Kika mwananchi anaponunua bidhaa au huduma analipa kodi kumbukavkuna VAT na kodi zingine.Watu wanafanya biashara kunabkidi wanalipa, kuna tozo wanalipa, ada na ushuru mbali mbali.Usitake tetracycline kauli hiiEmbu naomba uniambie hapo ulipo unatoa kodi shilingi ngapi kwa mwezi zinazoweza saidia na kuwezesha serikali yetu kutoa Billion 33 kila mwezi kwa ajili ya kugharimia Elimu bure? Inalipa kodi shilingi ngapi kwa mwezi ambazo zingeweza saidia na kuwezesha serikali kumaliza ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kuzalisha megawati 2115? Ujenzi wa SGR, miundombinu ya barabara,kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma pamoja na kuwapandisha madaraja,ununuzi wa vifaa tiba,madawa na kuajiri watumishi wa afya mahospitalini.ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 21 ,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 368,ujenzi wa zahanati zaidi ya 700,. Unalipa kodi shilingi ngapi ewe mleta hoja? Tuweke ushahidi hapa
Kaangalie takwimu TRA wanakusanya kodi kiasi gani toka kwa wananchi.Embu naomba uniambie hapo ulipo unatoa kodi shilingi ngapi kwa mwezi zinazoweza saidia na kuwezesha serikali yetu kutoa Billion 33 kila mwezi kwa ajili ya kugharimia Elimu bure? Inalipa kodi shilingi ngapi kwa mwezi ambazo zingeweza saidia na kuwezesha serikali kumaliza ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kuzalisha megawati 2115? Ujenzi wa SGR, miundombinu ya barabara,kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma pamoja na kuwapandisha madaraja,ununuzi wa vifaa tiba,madawa na kuajiri watumishi wa afya mahospitalini.ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 21 ,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 368,ujenzi wa zahanati zaidi ya 700,. Unalipa kodi shilingi ngapi ewe mleta hoja? Tuweke ushahidi hapa
Unachangia shilingi ngapi wewe binafsi kwa mwezi?Kaangalie takwimu TRA wanakusanya kodi kiasi gani toka kwa wananchi.
Msidharau kodi za wananchi kwa kutuona vilaza.
Tuna wa zoom.
Mimi binafsi nalipa kodi kama 204, 000tsh kwa mwez,Unachangia shilingi ngapi wewe binafsi kwa mwezi?
Kwa hiyo awamu zilizopita ziliongozwa na chama gani? Kwa hiyo wanaume wameingia wameleta hela! Rais wetu wa Sasa ana jinsia ipi jamani? Akina Mzee Kikwete na wallopita kumbe hawakuwa wanaume!! Ndio sababu Mfalme Suleiman aliomba hekima kwanza. Eti na huyu ni daktari. Safari bado ndefu sana.
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.
vimelea ya COVID19Huyu ni mzima kweli?
Ndo maana King Msukuma haishi kuwatukana hawa Wasomi vilaza.Ni daktari huyo! Wasomi hawa!!!😂😂😂
He was under influence... Can't be normal..
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.