LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.

Huyu nae awe makini na pension hii ndio ya mwisho, harudi bungeni.
 
Yote hiyo ni kufifisha sauti ya wananchi katika kudai uwajibikaji wa matumizi ya kodi zao.
 
Back
Top Bottom