Pre GE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Sio Bure! Mpango kuna kitu amekiona, You Know 🥃
 
Msimu wa kupigwa tindikali huu🤣 kashasoma alama za Nyakati!
 
Ccm wana mipango mingi hakuna jambo linalowashinda kwa swali jepesi kama lako
 
Cha kufia nini? Mzee wa watu anapenda kuishi. Walimnywesha sumu akaponea chupuchupu, ameona bora asepe zake wachawi wa CCM wasije wakammaliza.
 
Hii inaeleweka wazi tangu mwanzo Samia hakumkubali kabisa dr mpango mana yupo yupo tu hana mikakati wala mbinu
Kama unafikiria Kwa Akili bila mihemko na uchawa.

Unadhan ni nani Kati ya Samia na Dkt Mipango ,mwenye Kichwa kilicho kisafi na mipango Bora?.


Nilimsikia jaan Et naye anasema 'mimi pia ni mwanauchumi "
 
Dr. Mpango ni Smart Sana Upstairs. Hawezi Kukaa pamoja na Genge la wauza nchi na Malafi.
Amevumilia inatosha!
Nani kauza nchi bwashee. Uwekezaji kwako ni kuuza nchi? Sasa nchi gani haina wawekezaji. Shile shule shule
 
Elewa maana ya wauza nchi na Malafi. Hakuna Sehemu nimeandika Wawekezaji!!!
Sasa nchi imeuzwa lini. Mbona bado nchi ni yetu mimi na wewe vinginevyo usingepata uhuru huu wa kuandika ukilinganisha na kilindi kile cha giza chini ya jpm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…