Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Kuna jambo, ila nitalifuatilia tukishampitisha Lissu kuwa Mwenyekiti.
haha good luck …
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jambo, ila nitalifuatilia tukishampitisha Lissu kuwa Mwenyekiti.
Waziri mkuu wa Canada amejiuzuru, na kabla ya kipindi chake kumalizika, mtu mwingine atachukua nafasi yake.Hata wazir Mkuu wa Kanada alijiuzuru majuzi lakini bado yupo ofisini mpaka April 2025
Lakini barabara zimejengwa mkuu! Umeme wa grid umeshafika Kigoma! Pale mjini pote pametandikwa lami! Sasa mnataka nini cha zaidi?Hata sasa niko Ujiji hapa.
Mpango acha apumzike tu,
Hana msaada wowote kwa mkoa wake wa Kigoma.
Wenzake wanapambana wabaki au wapate madaraka ili wasaidie mikoa yao na nchi kwa ujumla, yeye anakuwa msaliti anakimbia uongozi.
Acha akapumzike kwake Chanika
Kumbe wewe na kelele zote hujui kitu kinachoendelea jikoni? Pole sana. Mpango mbona aliomba siku nyingi kujiuzulu akaombwa avute vute muda mpaka uchaguzi ufike? Hali yake kiafya siyo nzuri.Mpango kapigwa TK-O.
Nadhani arrogance, conservatism na hardline approach imemuondoa.
Au labda ndio wale Mkuu wa Majeshi alisema........ wa nchi jirani
Bado majaliwa aje apigwe tukio pale akae Biteko.
Miundombinu haiamuliwi na makamu wa rais wala mbunge au waziri, acheni upimbiLakini barabara zimejengwa mkuu! Umeme wa grid umeshafika Kigoma! Pale mjini pote pametandikwa lami! Sasa mnataka nini cha zaidi?
Rais angeweza kuutangazia umma kwa nafasi yake, ila aliamua kulitangaza kwenye kikao cha chama.Nani alimwambia ingwe ijayo atapitishwa tena?
Hilo lilihitaji kuandika barua kwa Rais, tena sasa?
Rais alikuwa na sababu yoyote ya kulisema kwetu, tena sasa?
ongeza minyama kidogo, umafia upi?Mpango wamemfanyia umafia
Na kwa taarifa yako team Makamba ilikuwa inataka kupitia kwenye huo ''uchochoro'' wakashtukiwa. Alipoomba kujiuzulu kipindi cha nyuma, walikuwa wameshasuka mpango Makamba ndiyo awe makamu na akishakuwa makamu mengine yafuate....... NB acha kelele kama hujui mambo ya jikoni.Mpango kapigwa TK-O.
Nadhani arrogance, conservatism na hardline approach imemuondoa.
Au labda ndio wale Mkuu wa Majeshi alisema........ wa nchi jirani
Bado majaliwa aje apigwe tukio pale akae Biteko.
Sasa mnataka afanye nini zaidi? hujawahi kusikia kila kitu ameleta Samia?Miundombinu haiamuliwi na makamu wa rais wala mbunge au waziri
Lakini kwa sasa Dkt. Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.😂😂😂
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemwandikia barua ya kuomba apumzike Umakamu wa Rais ambapo amesema baada ya kutafakari ameridhia ombi hilo.
Lakini kwa sasa Dkt. Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.
Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Akiongea leo January 19,2025 kwenye Mkutano Mkuu Maalum Jijini Dodoma, Rais Samia amesema
""Dkt. Philip Mpango ndiye Makamu wa Rais miezi ya karibuni hapa amekuja kuniona kuniomba apumzike, ana sababu kadhaa lakini sio za kazi, anasema yeye sasa ana miaka 68 na angependa kuishi zaidi kwahiyo naomba nipumzisheni.
Nikambishia bishia Wiki iliyopita hapa akanikabidhi barua yangu hii ( ya kujiuzulu?) na barua sikumjibu, nilipoenda kwenye Kamati Kuu nikawaeleza hiyo hali na kwa pamoja wote tukakubali tumpumzishe"
Ni kawaida kwa CCM mgombea Mwenza kutambulishwa kwenye mkutano mkuu wa chama pindi jina la mgombea Urais linapopatikana na Tayari mkutano mkuu umempitishwa Samia Kuwa mgombea urais 2025.Waziri mkuu wa Canada amejiuzuru, na kabla ya kipindi chake kumalizika, mtu mwingine atachukua nafasi yake.
Hii ya Dr. Mpango ni tofauti, anaendelea kushikiria hiyo nafasi mpaka kipindi chake kiishe. Sasa logic ya kuomba kujiuzuru sasa na kukubaliwa ni ipi?
Hapa tumepigwaRais Samia, leo kwa maneno yake amesema Dr. Philip Mpango alimwambia anataka SASA kupumzika (yaani amechoka), hataki tena kuendelea na hiyo nafasi. Rais akakataa, lakini Dr. Mpango akamwandikia barua rasmi ya kuomba kutaka kuachana kabisa na hiyo nafasi SASA (kujiuzuru), Rais ameridhia ombi lake hilo kwa sharti kuwa itabidi amalizie miezi tisa ya utawala wake iliyobakia.
Kama hoja itajengwa kuwa, uamuzi wake huo wa kujiuzuru unahusika baada ya huu utawala kwisha Oktoba mwaka huu basi kimantiki tangazo la Rais halina mantiki na ombi hilo la Dr.Mpango halina mantiki kwa kuwa kikatiba wote (Rais na Makamu wake) mikataba yao ya kuongoza inakoma mwishoni mwa oktoba mwaka huu.
Wataalamu wa siasa, sheria, katiba hii imekaaje?
PM lazima awe mvaa kobaziHata Namungo Master ataliwa kichwa kwa kigezo cha kuomba kujiuzulu🤣🤣
Madelu anapigiwa chapuo kumrithi
Ni kama aliwekwa bench au yupo bench kitambo!Ni kama aliwekwa bench long time
Kwa hiyo siyo kama Mbowe?Yule Mseminari OG, amenyooka
Pale anakaa biteko madelu anabaki kuwa bwana fedha draft limeishaHata Namungo Master ataliwa kichwa kwa kigezo cha kuomba kujiuzulu🤣🤣
Madelu anapigiwa chapuo kumrithi